Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unaambiwa hii ndo Arsenal bora baada ya ile 2004
Mbona wameanza ku-lower mapema, bado tuko foreplay - Mkuyenge tutawaingizia mwishoni mwa msimu
 
Tofauti ya Arsenal na hii pisi ya Yudizimu ni ndogo sana.
20260419_140002.jpg
 
Leo nimepata hata nguvu ya kucomment cuz we had a very good game, mimi ni muumini wa mpira mzuri, kocha Ana capability ya kufundisha mpira mzuri lakini kwa mbinu alizotumia tangu January ndio zimefanya city Ku close the gap, kwa mechi ya leo nimemsamehe, naamini amejifunza kwamba this club was built for good football not otherwise.
 
Unaweza kucheza vzr ila hakuna matokeo, sasa umuhimu wa kucheza vzr uko wap 😂
 
Leo nimepata hata nguvu ya kucomment cuz we had a very good game, mimi ni muumini wa mpira mzuri, kocha Ana capability ya kufundisha mpira mzuri lakini kwa mbinu alizotumia tangu January ndio zimefanya city Ku close the gap, kwa mechi ya leo nimemsamehe, naamini amejifunza kwamba this club was built for good football not otherwise.
Kwahiyo umeona ni good game? Bado mnasafari ndefu sana kama ni ivyo. So Leo mmecheza good football? Asee.
Muda wote mnasaka mpira nyinyi , zubi na rice hamna kitu wamefanya pale kati , hakuna mchezaji wenu ambaye alikua ana uwezo wa kukaa na mpira hata sekunde 30 pasipo kutoa boko au kupoteza mpira .

Wazee wa standard!! Short on target standard.😄 Sicheki kwamba mazuri ila ni kicheko Cha huruma
 
Haibadilishi chochote, I'm cool with it
From 9 points ahead zikiwa zimebaki game 6 mpaka GD +1.

Nembu waite wenzako wote kina castr, mkorea, Arsenal 2004, hamiss77 na mwanangu Rayman tujadili tunakwama wapi wazee??

Mbona wengine hawakwami ikitokea chance kama mnazopata nyinyi wao wanazitumia vizurrii ( Liverpool, Leicester) shida Iko wapi wazee? Kwa unyenyekevu mkubwa tujadili sisi tunakosea wapi?😄😂
 
Kuna yule mwanangu sijui bufa alikua na hesabu anakuambia mpaka game ya 32 watakuwa wameshatangaza ubingwa😂.

Sicheki kwamba alikosea , hapana kwa muda ule gap alilokua nalo arsenal hesabu zilikua sahihi ila hizo hesabu alisahau kwamba anayepigiwa hesabu ni Arsenal , ingekuwa team nyingine ni kweli saivi wangekuwa wanapigiwa makofi tu as champion sadly it was arsenal!! THE BOTTLERS
 
Back
Top Bottom