Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,665
- 2,556
Endelea Kuota ndoto nyevu wewe.Natamani sana hili litokee , mwanangu aston villa walibebe hili kombe wakipiga hesabu vizurii wanalinyanyua.
labyrinth nilikwambia Haaland asipofunga Man city huwa wanastruggle Sana kupata matokeo bt ukakaza fuvu nadhani mwenyewe umeona kinachowakuta huko.Hivi arsenal nyinyi nan kawaloga mazee mbona mnafurahisha sana sio timu mpaka mashabiki wanafurahisha, yaani shot on target unaona ni standard 😂😂 vipi na team zilizobeba UCL, EPL, world cup.
Chelsea hakushangilia draw ila alifurahi kuona jinsi timu ilivyopambana watu wapo pungufu lakini wanawapelekea moto.
Kama shot on target unaona ni standard basii mnasafari ndefu sana za kuitwa mabingwa labda 2075 huko.
Tunaiongelea arsenal kwasababu inafurahisha na kuchekesha kitu ambacho ni burudani kwetu, ni kama vile mandoga kwenye ngumi .
Liverpool mwaka jana muda kama huu alikua kawaacha points almost 8 huko na kachukua ubingwa mapema sana, kama unaona points 7 ni nyingi subiri utasimulia vizuri.
Man city utaacha points, man utd utaacha points hapo beki za man city zitakua zisharudiii
Style ya uchezaji wa Arsenal ndio inamkwamisha Gyokeres.Hili kombe linatutaka ni ujinga tu wa kocha wetu.
Angetuliza akili au akituliza akili kombe atabeba mapema sana ili awekeze Uefa na makombe mengine.
Mwisho wa msimu ni ngumu sana kupambania makombe yote kama kocha mbinu kisoda.Inahitaji kocha haswaa kuweza kufanya hilo.
Viwango vya wachezaji wa Arsenal eneo la ushambuliaji ni takataka sana hawana muendelezo.
Lingine odegaard sijui kampa nini yule kocha wetu.Kiukweli ni mchezaji wa kawaida hana uhatari huo.
Kama Arsenal tungekuwa na yule njino au sura ya kizezeta Bruno Fernandez lile eneo la Odegaard basi tungewapima vizuri sana kina Gyokeres kama wanajua kupasia au vipi.
Ukiangalia city Halaand anapata nafasi nyingi sana jambo ambalo hauwezi kuliona kwa Gyokeres.Nshaona zaidi ya mara moja jamaa akikaa kwenye eneo zuri lakupiga pasi hawampi.
Sasa sijui ndio maelekezo ya mwalimu hata sijui.
Ule upande wa Trosard na Martinel ndio upande unaotukwamisha zaidi katika kikosi bila kusahau yule captain asiestahili.
Rice ndio mtu anaestahili kuwa captain kikosini na ni aibu Rice kuongozwa uwanjani na kiande aina ya Odegaard.
Kama atabadilika basi na mimi tabadili maoni yangu ila Ode ni miongoni mwa wachezaji waliotukosesha furaha hii misimu iliyopita.
Narudia Tena....tukishanyanyua kwapa May....binafsi ntakutumia barua ya mualiko uje ule ubwabwa ikibidi nyumbani kwangu tufurahie ubingwa.....maana nahisi mara ya mwisho tunabeba hii EPL itakuwa ulikuwa hujazaliwa bwana mdgo🤠🤠Unazungumza kuhusu kombe 😆😆 nadhani tukihesabu kwa miaka 21 hii makombe ya arsenal na arsenal fans walioujiua sababu ya false hopes unahisi idadi itakua vipi?
Kumuuzia kwenu ni kutoka draw naye..hilo naliona kabisa....mwaka huu Gadiola kaishiwa PAWA kabisa🤠🤠🤠We una kichaa kweli. Tunamuuzia city mechi
Kwapa gani mnanyanyua nyie maandazi. Kimahesabu mna nafasi kubwa sana ya kutoka mikono mitupu. Lower your expectations usije ukapata magonjwa. Ni ushauri tu.Narudia Tena....tukishanyanyua kwapa May....binafsi ntakutumia barua ya mualiko uje ule ubwabwa ikibidi nyumbani kwangu tufurahie ubingwa.....maana nahisi mara ya mwisho tunabeba hii EPL itakuwa ulikuwa hujazaliwa bwana mdgo🤠🤠
Tupo second leg kwenye EFL dhidi ya Chelsea hatua ya nusu fainali, first leg Chelsea alikufa 3 kwa 2.
Second leg itachezwa Fly Emirates tarehe 3 mwezi wa 2 saa 5 usiku.
Tupo FA dhidi ya Wigan na mechi yetu inayofuata ni tarehe 14 mwezi wa 2 saa 11 jioni.
Tupo CL, mechi ya J4 ni kutafuta bragging rights kwakua tayari tulishafuzu hatua inayofuata hata kabla hatujacheza na Bayern.
Sijui kama mnaelewa ni kazi kiasi gani hii timu imefanya.
Upo kote huko halafu kiazi kimoja kipo Kerema kinaongea upuuzi nonstop.
YAP! LAKINI END PRODUCT IWE MAKOMBETupo second leg kwenye EFL dhidi ya Chelsea hatua ya nusu fainali, first leg Chelsea alikufa 3 kwa 2.
Second leg itachezwa Fly Emirates tarehe 3 mwezi wa 2 saa 5 usiku.
Tupo FA dhidi ya Wigan na mechi yetu inayofuata ni tarehe 14 mwezi wa 2 saa 11 jioni.
Tupo CL, mechi ya J4 ni kutafuta bragging rights kwakua tayari tulishafuzu hatua inayofuata hata kabla hatujacheza na Bayern.
Sijui kama mnaelewa ni kazi kiasi gani hii timu imefanya.
Upo kote huko halafu kiazi kimoja kipo Kerema kinaongea upuuzi nonstop.
Kuna mpwa kasema huko juu Arsenal kama timu na mashabiki mna comedy sana, hakika nimeamini.Zimebaki mechi 16.
Mfano Villa na City wakachafukwa kila mmoja akashinda games zote zilizobaki Villa na City watapata points 91.
Arsenal akishind mechi 14 atakua na points 92 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote. Start the countdown
Kuna kipindi tulifululiza kucheza na kuzuia timu zisipate shot on target mpaka ikawa ni standard. Ilivyofika hatua wapinzani wanapata shot on target ikawa ni hoja ya kujadili.
Kwanini Arsenal ameruhusu shot on target?
Siyo kufungwa. No, ni shot on target.
Chelsea kushangilia suluhu ya moja moja na mashabiki wa Arsenal tukakubali kwamba wameshinda ile mechi.
Chelsea kushangilia kufungwa 3 ila Estevao kadribble na Garnacho kapata magoli mawili.
Ni hizo standards tulizozifikia ndiyo zinasababisha hata tukiconcede mashabiki roho zituume.
Kwa wanaowania kombe matokeo ni Arsenal kasuluhu ana points 50, City kafungwa ana points 43, Liverpool kasuluhu ana points 36.
Lakini ona watu wote wanaiongelea mechi gani? Kuna mmoja kasema tunaiongelea hii mechi kwakua tuna uhakika nyinyi hamchukui kitu.
Mwingine akasema wanaiongelea kwakua hii ndiyo inapata attention online.
Hawa wanasahau ni standards ndiyo zimetufikisha hapa.