Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dah! Nilianza kushangilia Liverpool sababu ya Michel Owen. Miaka ya 2003 nikahamia Arsenal sababu ya Henry.😀😀😀Almanusura nihamie nyumbu kisa Ronaldo(CR7) tena baada ya Euro 2004 Ureno.
Dogo mimi nime anza kuangalia mpira nyumbani since 2003, mzee ali leta tv za hitachi na Panasonic.

2010 nime angalia fainali za kombe la dunia mwenyewe, nikiwa sebuleni.

Leo hii 2026 naangalia nitakacho, arsenal sio ya maduwanzi boya wee.
 
Wenye Tv walikuwa wazito, mtaa mzima wanajurikana kwa mzee fulani kuna TV. Mkifika lazima mnawe miguu kuingia ndani..watoto watukutu walikuwa wanaishia dirishani.
Nakumbuka Final ya kombe la dunia mwaka 1998, kuna muhindi alitoa TV ya chogo akaweka uwanjani then mbele yake akawela lenzi kubwa.Oya wachezaji walikuwa wakubwa mno..unawaona hata ukae mbali.
Dogo kumbe wakishua enzi hizo unacheki Tv kwenu mna mpaka madishi wakati wengi wakiwa analog na Tv mpaka kwa jirani wachache.

Mimi nimeanza 2008 enzi hizo nipo darala la kwanza
 
fabian hürzeler kocha wa brighton ,ana miaka 31 lakini brain kubwa sana ya mpira.. jana unaangalia mpira huku una enjoy kuona flow nzuri ya mpira zaidi na sio wachezaji kukimbia hovyo.. kakosa wachezaji bora tu zaidi ya hao alio nao kwa sasa.

yeye na andon iraola wa bournemouth nadhani watakuja kupata kazi katika vilabu vikubwa zaidi uko mbeleni.
 
Kwenye maisha kuna kitu huitwa bahati nzuri, mimi hu define when opportunity meets preparation.

Kwa misimu miwili nyuma arsenal tulikuwa tuna anza vizuri na kumaliza vibaya, wapinzani wetu waki anza vibaya na kumaliza vyema.

Injuries na sisi ilikuwa kama upwiru kwa msela, key player's walikuwa wana umia ule muda ambao wana hitajika Sana.

sasa hivi mambo yame change squad yetu ni Pana, huku wapinzani wetu wa top three hasa city kasha poteza beki wake wawili hawa ni nguzo yake muhimu mno.

Since January 2026 top 6 teams zicheze ni arsena pekee kasha shinda game zake, huku wengine waki draw zote au kufungwa.

Leo na kuendelea tuna ihitaji hiyo bahati kwa namna yoyote ile, viva arsenal viva the gunners 🔥.
FB_IMG_17678834562210074.jpg
 
Moja kati ya kitu ninacho kipenda kwa guardiola ni mind games, jamaa ana jua kucheza na akili za wapinzani.

Ukiona kakusifia, kisha kaonyesha kukata tamaa huku akisema hasajili wachezaji wengi basi muogope na mtazame hata usingizini kwako.

naona arteta amesha anza kujifunza hilo, angalia alivyo wachezea wapinzani kuhusu kurejea kwa Declan rice hahaha ngoja tuone.
 
Ushindi wa leo utaanza kuwakatisha tamaa wapinzani..

Uzuri sisi tunataka kuwa namba 1 pale baaasiiiii. Kombe apewe yeyote yule.
 
Kiukweli alichokifanya Enzo jana cjapenda, hivi kwalile pira zito tuliowapgia round y kwanza mungu akawa upande wenu mkadroo, safari hii mtaweza kuhimili kweli?
Sisi Huwa hatuna mqneno mengi....siku ya tukio utachagua namna ya kutoa....kwa mbinde au kistaarabu
Ushindi wa leo utaanza kuwakatisha tamaa wapinzani..

Uzuri sisi tunataka kuwa namba 1 pale baaasiiiii. Kombe apewe yeyote yule.
Kinachotakiwa ni sisi kujaribu kushinda Kila mechi mpk mwisho wa ligi....tukifika May watachagua wa kumpa kombe wenyewe🤠🤠
 
Liver imeamua kumuweka beki kama RW wakati kuna Chiesa. Nawaza labda idea yao ni structure iwe 5 4 1 wakiwa wanakaba, hata hivyo Frimpong bado anahesabiwa ni flop kwa msimu huu so sidhani kama itakua walivyowaza.

Gakpo, long shot merchant, kagewa bawa alitulize ameachwa MacAllister awe physical pale kati na Gravenberch alainishe movements.

Wirtz ni AM ila siyo ajabu AM kucheza nafasi ya ST. Ana skills hatakua na haja ya kushindana ubavu na wakina Saliba

Set up nzima imekaa ya kutegemea long balls na kufanya high pressing. Arteta ataresort kwenye same particulars kupossess mpira ili kuwafrustrate wapinzani. Kerkez ni weak link na konate ni weak link, we have two advantage kama tukifanikiwa kuzipress.

Lemme see Trossard anakuja na nini leo
 
Back
Top Bottom