The Anfield
JF-Expert Member
- Dec 15, 2025
- 247
- 285
Arsenal kisasi kitalipwa Leo Cha Bournemouth, msimu uliopita nje ndani mmechapika, ngoja tuone sub za Saka na Jesus zitaongeza au kupunguza nini
Sisi chelkenge kesho tunampa yote man cty ajipigie tuu
Weka mali yako ya nyuma bond, kama una jiaminiSisi chelkenge kesho tunampa yote man cty ajipigie tuu
Chelkenge kesho tunakufa nyingi, namuua chelkenge kwenye mikeka ynguWeka mali yako ya nyuma bond, kama una jiamini
Ongezea na Bournemouth japo na ushindi juuKama masihara ila mpaka sasa hivi timu pekee iliyoziona nyavu za Arsenal mara mbili kwenye mechi moja ni Sunderland na Aston Villa
Duuh tunatamani mchukue ubingwa lakini sio kirahisi hivyo mdomoni tu, msimu wa 2022/23 if not mistaken, mlikuwa mnaongoza Ligi Kwa kipindi kirefu km Liverpool msimu Jana, Hadi kufika mwanzoni mwa Aprili gepu na mshindi2 Mancity ilikuwa ni zaidi pointi8/9 ivi bwana bwanaa kilichokuja kutoka, Yale ya klopp na guadiola kufukuzana Kwa gepu la pointi1 kuanzia Januari mpk May na Kukosa ubingwa.....Arsenal Bado mechi 17 tutangaze ubingwa
Ukitoa kenge, nyumbu, spurs, bournemouth, hizo ni must win games technically tutakua tumebakisha michezo 13 kutangazwa ubingwa
Happy new year
Uliyo suggest yote yatafanyiwa kazi ila lazima tuanze sherehe za mdomoni mapema coz tumetukanwa sana, tumedhalilishwa sana, tumekashifiwa sana. Kiukweli mwaka huu mtatusamehe tuDuuh tunatamani mchukue ubingwa lakini sio kirahisi hivyo mdomoni tu, msimu wa 2022/23 if not mistaken, mlikuwa mnaongoza Ligi Kwa kipindi kirefu km Liverpool msimu Jana, Hadi kufika mwanzoni mwa Aprili gepu na mshindi2 Mancity ilikuwa ni zaidi pointi8/9 ivi bwana bwanaa kilichokuja kutoka, Yale ya klopp na guadiola kufukuzana Kwa gepu la pointi1 kuanzia Januari mpk May na Kukosa ubingwa.....
Sembuse nyie arsenal gepu la pt4 hili na hii Januari nusu msimu, mshaanza maandalizi ya sherehe za Ubingwa badala sherehe za kupambana na kuvuja jasho, hard work,mentality,spirit nk Kwa Ajili ubingwa
No! Mimi Liverpool nataka Arsenal achukue Ubingwa, ila apambane na awe na high mentality na spiritIt's Arsenal against the world.
View attachment 3524899