Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Screenshot_20260420-074911_Facebook.jpg
 
Wamekimbia jukwaa kwa muda.
Wanataka tutulie kwanza ndio warudi ,, kubabeki safari hii hatuwaachii yaani tutawapelekea moto huu uzi utageuka jehanamu kwao
Watarud kwa Newcastle Na wagongwe Tena 😂
 
Ubingwa wa msimu huu utaamuliwa kwa goal difference, kama ilivyokuwa msimu wa 2011/2012

We will win the premier League this season,They like it or not.
 
Wamekimbia jukwaa kwa muda.
Wanataka tutulie kwanza ndio warudi ,, kubabeki safari hii hatuwaachii yaani tutawapelekea moto huu uzi utageuka jehanamu kwao
Tumewaachia nafasi mteme sumu zenu mkishachoka tutarudi tu.
Timu zenu zenyewe zimeshindwa kuwapa furaha sasa inabidi msherehekee anguko la Arsenal
 
Tumewaachia nafasi mteme sumu zenu mkishachoka tutarudi tu.
Timu zenu zenyewe zimeshindwa kuwapa furaha sasa inabidi msherehekee anguko la Arsenal
Dogo.
Unaulizia furaha kwa washabiki gani? Man U ?
Liverpool??
Chelsea??

Embu niambie timu gani kwa miaka 20 katika hizo unaizid mafanikio?
 
Wewe ambaye umeanza kuangalia mpira 2008? Unajua 2008 sisi mapenzi na arsenal ndiyo yapo peak!!! Hata fainali 2006 kumbe ulikua bado unaangalia maigizo nyumbani .
Kama nilivyokua Nina uhakika na nyinyi kutokuchukua kombe ndivyo nilivyo na uhakika wewe ni chaliii kwangu.
Dogo yaani uni linganishe na mayanki ka nyinyi!, wewe dogo mi niko area since zama za mwinyi.

Toka jana nime pokea mention 100, na reaction 300+ aisee kuweni na adabu kwa wazee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom