Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dogo.
Unaulizia furaha kwa washabiki gani? Man U ?
Liverpool??
Chelsea??

Embu niambie timu gani kwa miaka 20 katika hizo unaizid mafanikio?
Katika kipindi cha hiyo miaka 20 unayoolengea unadhani Kati ya hizo timu ni timu gani haijawahi shinda kombe lolote

Arsenal
Manchester city
Liverpool
Chelsea
Manchester United

Kwenye hiyo list naomba uondoe timu ambayo unadhani haijawahi shinda chochote katika kipindi cha miaka 20 iliyopita
 
Arsenal’s remaining league fixtures:

Newcastle (h)
Fulham (h)
West Ham (a)
Burnley (h)
Crystal Palace (a)

Manchester City’s remaining league fixtures:

Crystal Palace (h)*
Burnley (a)
Everton (a)
Brentford (h)
Bournemouth (a)
Aston Villa (h)

It will be won on goal difference
 
Arsenal’s remaining league fixtures:

Newcastle (h)
Fulham (h)
West Ham (a)
Burnley (h)
Crystal Palace (a)

Manchester City’s remaining league fixtures:

Crystal Palace (h)*
Burnley (a)
Everton (a)
Brentford (h)
Bournemouth (a)
Aston Villa (h)

It will be won on goal difference
480w_s.jpg
 
Katika kipindi cha hiyo miaka 20 unayoolengea unadhani Kati ya hizo timu ni timu gani haijawahi shinda kombe lolote

Arsenal
Manchester city
Liverpool
Chelsea
Manchester United

Kwenye hiyo list naomba uondoe timu ambayo unadhani haijawahi shinda chochote katika kipindi cha miaka 20 iliyopita
Naona umekimbilia kwenye chochote.
Ukisema chochote haifai maana utaleta vidomestic cups vyako hapa.
Man u Epl & UCL
Liverpool EPL&UCL
chelsea EPL & UCL
Arsenal ....... malizia mwenyewe
 
🚨 Siku kama ya Leo mwaka 2018 Arsène Wenger alitangaza kuwa anaondoka Arsenal FC baada ya kudumu kwa miaka 22

Arsene Wenger ndio Kocha pekee kwenye Historia ya Premier League kumaliza msimu bila kupoteza Mchezo katika michezo 38.


Huyu mzee alibeba EPL ngapi miaka yote iyo🤔🤔
 
Jamaa anajifanya ana pumzi ya kutosha, mimi naamini with maturity and the right mentality tunao uwezo wa kupiga zote 13, paka yeye mwenyewe hapohapo kwao, afu tunamuacha acheze mpira sisi tunampiga set pices za kumkeraaa, na carabao tunampiga goli la kona moja tu afu tunashikilia bomba, this Arsenal team is Diego simeone on steroid
One of the best false hopes of the season, hii false hope yako inabidi upokee taji la maua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom