Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
Sajili za Arteta mlikuwa mnazitukana Sana vipi leo sajili za Ten hag mbona mnajificha kichaka Cha Grazzer familyna kuna wachezaji 12 wengine wa mafungu wanasajiliwa na Arteta msimu huu.
Yaani wewe huwa unasapoti wapuuzi tu humunyie wakora ni vile nyinyi ni vichwa maji tu ndio maana hamuoni jinsi computerarsenal alivyowapiga gape kubwa kwenye uwezo wa kuchanganua mambo kwa ufasaha.
Leo Liverpool yako ndio ipo futuhiNyie wazee wa futuhi hamjambo.lakni
Chelsea = Havertz
Liverpool = Jota/Mane
Man City = Haaland
Spurs = Kane
Man Utd = Ronaldo
ARSENAL = Nketiah.
Wewe leo CF wako jakisoniMnavyopambana na huyo jesus mtafikir mchezaji wa maana.
Bodi ya Arsenal ikae chini ifikirie upyaa maamuzi yao, kumuamini Ramsdale na kumtoa Leno kutaleta majanga msimu ujao.. Nimetoka kuangalia game ya England vs Hungary, hayo magoli anayofungwa Ramsdale ni AIBU!!
Wewe hata conference hucheziNyie matakataka munastahili wachezaji wakacheze Europa?
Uliona mbaliNowadays, 4-3-3 set-up wanatumia two #8s, tuongee kuhusu RCM & LCM sio AM, so Fabio Vieira kwa namna anavyocheza FC porto anatumika kwenye right hand side, huyu ni RCM.
Arsenal ilisajili kipajiWatu na maunyama yaoView attachment 2263285
Arsenal tumetoka mbaliXhaka bado yupo Mzee......Lengo ni squad depth
Mildifield
•Granit Xhaka
•Yakubu Partey
•Martin Ordegard
•Fabio Vieira
•Youri Tielemans
•Lucas Torreira-Huyu ndio atatafutiwa Loan team nyingine ili akamalizie mkataba wake,tumeamua kumtoa pale fiorentina kwasababu ya jeuri yao ya kutunyima Vlahovic
•Mo Elneny
Xhaka na Torreira kama sijakosea wamebakiza Mwaka 1 kwenye mikataba yao na watakuwepo msimu huu kwa lengo la kuwaachia mikoba taratibu new signings
Yakubu Partey ni prone Injury........nadhani utakuwa umeshaelewa kwanini tunahitaji sign ya Tielemans.......ili tusije tukapata matatizo kama ya late season
SQUAD DEPTH MZEE
Watu walikubishia sababu wengi hawajui mpira humu jfTatizo hujanielewa, kwa sajili hizi zikifanikiwa zitatupa 10+ more points nxt season, kumbuka msimu huu tumepata almost point 70. 2023/24 Arsenal itastrength tena kuongeza margin, so bingwa hatofika point 90+ kama sasa, Kama Arsenal atakuwa na uhakika wa point 80+ na ubingwa unahitaji point 80+, so inamzuia vipi Arsenal kuwa kwenye title push?
chelsea anaenda kumalizana na raphinha.. ;ni mchezaji mzuri kweli ila sioni umuhimu wake san kwenye kikosi cha arsenal.. kuna mchezaji yuko ajax ;ni mbrazili n yeye anaitwa antony.. uyu kwngu ndio mchezaji wa muhimu sn kama arsenal inatka kusajili winga.
Dah wewe uliona mbali SanaAntony mambo mengi, contribution ndogo sana kwake
Uliona mbaliNiliutaka sana usajili wa Raphinha lakini sio kwa £60/65 mil.. ni overprice.
Ndio maana Barca waling'ang'ania kwenye £35/40 mil, wakiamini ndio top top. Si zaidi ya hapo.
Arsenal ilijitahidi kucheza na huu mnada mpaka kufikia dau la £45 mil (plus add ons inakuwa £50 mil) kwa mujibu wa Fabrizio Romano, lakini baadae kuna wendawazimu wakatokea huko walikotokea na ku-overpay.
Haya mchukueni, sisi tunahamisha majeshi kwa vijana wengine.
Najua kuna watu watatu-criticize kwa kumkosa, lakini hata tungempata wangekuja na sababu nyengine ya ku-overpay.
Unatania wewe Raphinha kumkosa ni maumivu makubwa angekuwa msaada mkubwa kwenda champions league next season hayo mambo ya price ni bahati nasibu unaweza lipa hela na player akaperform au not mbona pepe tumelipa hela nyingi na bado tuna deni?kwa sasa football ni hela hayo mambo ya kuperform au lah unamuachia player mwenyewe
Leo ndio unaongoza humu kusema Kai Ni flopZiyech na harvert wametusave kwenye nyakati muhimu Sana huwezi Moja kwa Moja ukasema wameflop
sijaona sna icho kitu unach kisema kwa antony kusema ukweli ila siwezi jua maan mpira tunautzama tofauti but nachotak kusem ni kuwa wapo wachezaji wengi sana ambao ni wingers wazuri mno timu ya arsenal ingejarbu kuwatzama..
endapo target A ikifeli unatizama target nyingine na sio focus yote kuwa kwa mchezaji mmja ;mfano kuna winga mwingine yuko PSV anaitwa noni madueke.. ni mchezaji mzuri sna n yeye.
Nimemuelewa yule aliesema, laiti tukitoa hiyo pesa £65mil
Alafu asifanye kile tulichotegemea. Tutakuja kushika uchawi
Watu Anthony mlikuwa mnamjua kabla hata nyumbu hawajapigwa €100mAntony hana pace, tunahitaji mchezaji kama Saka anayecheza kwenye isolation role, quick enough to beat his man in 1v1, Cutting inside from the RW, anayeweza kucheza kwenye both wings, left footed right winger.