Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 37,915
- 75,759
Game ilikua shit.Lilipigwa boli, au mateke tu?
Odegaard hayuko sawa, sense ya kupasi vizuri kaipoteza siku hizi.
Goli dhidi ya Soton lilitokana na pasi yake kwa adui.
Jana Sporting CP waligongesha mtambaa panya ulitokana na pasi yake kwa adui.
Yaani unamuona uwanja mzima ila hana impact. Timu haina fluidity kwenye movement, tupo slow, hakuna shot takers.
Ukiangalia takwimu za mechi na matokeo utaweza sema ilikua fresh ila hapana na ninaamini imetokana na sisi kucheza na ile attitude ya kusema tupo ugenini. Shida ni kwamba hata Emirates hua tunakua kama tulivyokua jana.