toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,422
- 2,791
Kuna marehemu kazikwa hukoTwendeni kwenye msiba kwanza tutarudi kuwekana sawa.
Mwingine anayeamini Pochettino ni kocha sahihi aje hapa
Kuna marehemu kazikwa hukoTwendeni kwenye msiba kwanza tutarudi kuwekana sawa.
Mwingine anayeamini Pochettino ni kocha sahihi aje hapa
Hii ni mwezi wa 3 mwaka huu namuongelea Fabio VieiraPamoja na hizo miss ila Vieira ni miongoni mwa wachezaji intelligent kwenye kikosi chetu cha sasa
Kaka hivi mechi zinafanana?Tuliyedroo nae nyumbani kagongwa tano... arteta hakuna kitu anafanya
Chelsea hadi waje wa click sio leo.Kabla ya kuendelea na mjadala mkali tutoe dakika moja kuwaombea wenzetu Chelkenge.....inasikitisha sana....yule Caicedo sijui wamempa nn....fundi Midiriki haeleweki...Cole Palmer naye sijui wamempa nn....tunahitaji kikao cha haraka sana ku discuss hatima ya hawa wenzetu....wamesajili wqchezaji wengi machachari lakini sio wazuri
tena tuli-draw wakiwa pungufu,halafu ukisema Arteta aache kufanya mambo ya kisenge kwenye upangaji wa Timu inakuja popoma moja juaji inaitwa HAMIS77 na kuanza kumtetea,khaaaTuliyedroo nae nyumbani kagongwa tano... arteta hakuna kitu anafanya
Kwenye mechi ya fulham kuna kitu kanionyesha.Hii ni mwezi wa 3 mwaka huu namuongelea Fabio Vieira
Hii ni 2022 namuongelea Odegaard na sajili zingineWaliokua wanatukana usajili wa White walikua mashabiki wa united wakimfananisha Varane na White. Sisi mashabiki wa Arsenal ambao hatukujipiga ban kama wewe tulikua tunamtetea White kwenye uzi wa united na kwenye uzi huu.
Tukaonyesha kasoro za Varane na kwanini White kasajiliwa.
Maddison ni long shot merchant na kwa kumbukumbu zangu ni mtu mmoja tu humu alikua anasema atafaa Arsenal. Price tag yake ilikua wizi na wengi tukaridhia kuachana naye kwa hiyo price tag.
Odegaard alikua hovyo. He had his moments ambazo wengi tulikubaliana kua jamaa ana quality ila tutahitaji muda naye.
Wakati Ramsdale anakuja zaidi ya stats alikua na nini kingine? Arteta alisema attitude akifungwa. Mimi str8 up nilisema Aaron siyo shot stopper, kwa magoli anayoconcede sioni wapi nimeongopa.
Arteta alimess up usajili akasababisha wewe ujifiche, sisi tulibaki hapa hapa. Leo umerudi unaanza kuandika as if una hati miliki na timu
Kapigwa tofali moja tu la kichwaKuna marehemu kazikwa huko
Hapa ni 2022Kwani we jamaa umeona Winga wangapi wamekua AM? Wa kwanza Grealish, kisha kuna Buendia.
Sasa kuna ajabu gani Odegaard kucheza kama AM? Wakati namba yake ya asili ni Winga? Sijajua wapi huelewi, akiwa anasajiliwa Arsenal alisema kwamba anafurahia kucheza kutokea kulia (Namba ya Bukayo) ila anaweza kucheza kama AM na atasikiliza maamuzi ya kocha.
Mimi nikasema Odegaard siyo AM. Kwamba anadeliver haimaanishi yeye ni AM naturally. Hata timu ya taifa kuna mechi anacheza kama RW haswa Sorloth akiwa benchi au majeruhi ila Sorloth akiwepo ndiyo atakua RW na Odegaard anakua AM.
I hope utanielewa sasa.
Hii ni 2021 mimi nasema Odegaard akawe AMTunaifuata game na city kinyonge kweli kweli. Suluhu ambayo tulitakiwa tushinde huku defense ikiwa hovyo.
Ni lini umewahi kuona Arsenal kagewa odds 6+? Betika wameipa Arsenal odds 6.50, Betpawa wametoa odds 6.00 kwa Arsenal. Hili kwangu ni jipya, tumetembelea sana odds za 2 na 4 ila kwa game ya kesho sasa ndiyo tunaenda kiunderdog zaidi.
De Bruyne kapona, majeruhi walionao ni Nathan Ake ambaye hata alivyocheza alionyesha bado ana mchango mdogo, kisha na Gundogan, recently Gundogan is on fire.
Juzi Auba alipata chances 2 moja alibaki yeye na kipa baada ya krosi ya Saka akatoa nje ya pili alitaka kumfinya beki ila beki akaunasa.
Gundogan aliupokea mpira mrefu wa Ederson akamtesa Sanchez, Sanchez chali kama gunia akascore easily.
So we know jeuri ya kukabidhiwa odds 6 imetoka wapi.
Muda huu naandika Livescore inaonyesha Arsenal ina 35% ya ushindi City 42% na draw ni 23%. Sofascore inaonyesha watu 4876 wanatabiri Arsenal kushinda, watu 9727 wanatabiri City kushinda na watu 2572 wametabiri draw.
Zile back passes za juzi zilitokana na benfica kupaki basi au siyo now City hawatapaki basi na hivi karibuni wamerudia 4 3 3 na wanatumia mid na attacking fullbacks kutafuta magoli unlike baadhi ya opponents tuliokutana nao.
City ni superior kimbinu na quality ya wachezaji kwa sasa ni fair tukienda kujilinda na tukawa na striker ambaye anaweza kutoboa katikati ya watu, hivyo kwangu mimi Elneny na Xhaka wakae kati, Auba awe LMF, Odegaard awe AM, Saka awe RMF na ST awe Lacazette.
Pablo Mari kapona, Rob Holding yupo, Gabriel yupo, duo ya Rob na Gabriel na Rob na Mari ilitugea clean sheet nyingi sana, Luiz asicheze as City ni wazuri kwa kujiangusha na ni tatizo kua na beki kama Luiz unapocheza na divers.
Bellerin amekua shit, advantage yake huyu jamaa ni spidi. Kwa Arsenal ndiye mchezaji mwenye spid kabla ya Saka juzi kugewa 96 kwenye pace na Tierney kuja. So unatarajia aweze kumtrack Sterling, ila Sterling ana pace kubwa, diver na skills za kumwaga so ni sawa kabisa kuhisi atamsumbua Bellerin. Na kwa recent form unaona wazi Bellerin kazi anayo.
Ila kama mbwai iwe mbwai, Cedric awe RB na Tierney awe LB. Kimahesabu Arsenal hatuna chance ila hapana, tuna chance nzuri tu, lolote litatokea tulishawadisappoint City so kesho haitakua mara ya kwanza.
Wa kuchungwa ni mawinga, na Debruyne kama akipangwa. Kesho ni kesho anapasuka mtu.
January namuongelea JesusNaangalia mechi halafu nakumbuka miaka miwili nyuma nilivyokua nasema timu imejaa wachezaji hawana fighting spirit, hawana morali, wanapiga sideway passes n.k.
Sasa hivi naangalia mechi, tunafungwa goli moja na ninaamini tunaweza kufanya comeback na tunafanya kweli. Odegaard kwa pesa tuliyolipa ni tumemuiba, Nketiah is scoring yes lakini naona tunahitaji zaidi ya hiyo, why? Akipata mpira na kwenda mbele hana agility na skills za kuchambus defense, Jesus ana hivyo viwili ndiyo maana anaweza asiscore ila akatoa assists au akawa chanzo cha goli.
Tusiwasikilize wakina Ollashoga na Lembua. Walitoa vipimo vingi mara hatutapona kwa huyu au yule na stori zikahamishwa mpaka kudai baada ya WC tutakua hovyo.
Well baada ya WC tumeshinda mechi ya pili, ukiniuliza mimi nitasema nina hamu na game dhidi ya City kwakua ni miongoni mwa timu zilituburuza na ninataka kuona tumefikia wapi. Hawa wengine hawanisumbui.
Happy New Year Crew
🤣🤣🤣🤣🤣..wanaita killer punch kene masumbwiKapigwa tofali moja tu la kichwa
hamis77 na wewe leta hapa chambuzi zako ulizosema kuhusu Ødegaard na Ramsdale za mwaka 2021/22 sio unaongea tu porojo kuwasingizia watu uonekane uko sahihi.Hii ni 2021 mimi nasema Odegaard akawe AM
Hii ni 2019 Jesus yupo City na ninaappreciate uwezo wakeMechi na ST Liege kwakua tulishapita ilibidi icheze timu B kwa sehemu kubwa.
Na hiyo timu B ilitakiwa kushinda goli kuanzia 3 huku yenyewe isiruhusu goli zaidi ya moja.
Hapo ingemaanisha first XI yetu ina uwezo wa kuifunga Man City.
Kwa ile gemu ilivyokua, mimi ninasema leo Arsenal tukishinda itakua haina tofauti na Bournemouth kwa Chelsea au Man City kwa Wolves. Pure luck, no skills, technic, nothing.
Kama tutatumia 4 2 3 1 (Which is very likely) na tukapanga katikati watu wanaoweza kupigania mpira hata wakiupoteza, huku mbele feeding ya mipira haitatusumbua.
Naona Aaron Arsenal anapendekeza Martnell akae kushoto na Auba akae kati. Auba ana madhara ya kiwango kilekile ama awe kati au kushoto. Physical strength na pace ni kubwa kwake kuliko Martnell so ni sahihi zaidi (Kama Martnell na Auba wataanza wote) Martnell awe kati na Auba awe kushoto. Kama Laca yuko fit, aanzie kati hapo hapo as kwakua ni majeruhi basi asipate kashikashi za pembeni. Kisha atatoka baadaye.
Pepe huko kulia kunamfaa.
Ozil, a guy hua anapotea mechi kama hizi leo akipangwa na akijikaza tutaput up a fight. Kiukweli gemu kama hii mtu kama Ceballos ni wa muhimu, too bad he on bed, sijui kama Tierney yuko fit but if he is na akacheza LB zile cross zake zitatupa advantage ya kuwaongezea hofu wapinzani.
Luiz na Mustafi wasicheze pamoja. Instead Chambers na Luiz au Chambers na Mustafi ndiyo wacheze pamoja.
Xhaka alituharibia gemu aliyocheza akajeruhiwa so tumchukue beki mmoja acheze kama DMF yeye na Torreira. Guendouz hana kontro, stamina, skills wala speed alichojaaliwa ni maono ya kupeleka mpira mbele, akicheza ni kamari nyingine tunaiingia.
Sijui kwanini ila naona Niles akicheza kama RB. Pia tabia iwe ni 'Play FROM the back' na siyo 'Play AT the back' these guys have Jesus, Aguero, Sterling, Sane, Silva, KDB, who pose the same threat kama tuta'play AT the back'
#WeMove
Vieira kwa sasa anacheza vizuri akiingia sub kuliko akianza. Nahisi akicheza na watu ambao hawana fatique anakua anasumbuka, ila bado naamini ana technical ability ya juu na itakuzwa huko CarabaoKuna watu wanaamini tuna best midifield.pengine kwa wengine ni kweli ila kwangu naona a missing piece of puzzle.
Kwa timu inayocheza mpira wa style ya arsenal,man city,barcelona au hata ajax basi kuna aina ya mchezaji kwenye kiungo cha juu LCM au RCM au namba 10 hasa ambaye watamhitaji kudrive team na ku unlock pattern na kutengeneza pattern.
City waliwahi kuwa na david silva na sasa wana bernado silva,aisee ogopa hawa watu.
Barca ilikuwa na iniesta na xavi,haasa iniesta.
Arsenal ya wenger iliwahi kuwa na hleb,wilshere,nasri ila the beast alikuwa ni CARZOLA.hata rosisky pia
Hivi ushawahi jiuliza kama ingetokea muda unarudi nyuma ukawa na midi ya PARTEY,CARZOLA na WILSHERE au FABRIGAS.
Ubora wa partey hatuuoni vizuri kwa sababu ya kukosa kiungo DRIVER.
kama ARTETA atamuamini vieira na akajaribu kumtumia katikati au kama 10 basi tutaona ambacho hatujawahi ona hasa kama fomu ya vieira itaendelea kukua.
Kuna quality haitengenezwi ila ni kipaji.GUARDIOLA kakaza sana kutomuachia bernado kwasababu kishampoteza GUNDO.
haya ni maoni yangu we need a driver.mtu ambaye anaweza akachekecha akapenya na akatoa pasi au ikibidi aka score.
Kama kuna mchezaji natarajia awe turning point ya arsenal basi ni vieira.ile akili yake na vision na comfortability hufundishwi tu bali ni tafsiri sahihi ya neno FOOTBALL INTELLIGENCE
January 2022 namuongelea ArtetaArteta kimbinu bado hajafeli. Ameipindua defense iliyosemwa haifundishiki mpaka kua namba tatu kwa ubora katika ligi ameifanya timu icheze huku ina plan.
Kinachomfelisha wachezaji. Kuwa na wachezaji wala red na watoa maboko ndiyo kulisababisha msimu uliopita mashabiki wadai kichwa cha Arteta.
Msimu huu kuna idadi ya wachezaji ana amani nao timu inaonekana kuna kitu inataka. Na yeye akasema tunahitaji viungo na washambuliaji, dirisha limefunguliwa bado hatujapeleka bid kokote, zaidi ya wiki nyuma kuripotiwa na Romano kwamba Arsenal inaongea na wakala wa Dusan. Hakuna popote ilipoguswa stori ya viungo.
Dusan was long shot kwanini hatuna plan B ya endapo tungemkosa Dusan? Au Melo? Arsenal hatujawahi kua na kocha mbaya tangu Wenger aondoke kuanzia Emery mpaka Arteta, Wenger alilificha tatizo la Kroenke vizuri ila kwa mpira wa siku hizi wote tunaona nani ana shida.
Ukisema Stan ana shida kuna mtu anakuuliza mbona sasa sisi ndiyo big spenders last summer yaani kama vile hajui kuanzia hiyo last summer ndiyo Arsenal kapokea pesa ya Stan. Kama mnakumbuka mtoto wa Stan alisema wamejiandaa kuhakikisha Arsenal ina exceptional transfer window, hilo dirisha lilikuja na Lokonga, Tavares na wenzao.
Mashabiki wanatarajia miujiza. Kwamba Arteta achekeche tunguli ghafla Lokonga awe na uwezo wa Vieira, Auba form irudi vitu ambavyo haviwezekani. Kwenye huu uzi Dusan kaandikwa siyo chini ya mara 50 ila leo Juve anaondoka na Dusan.
Timu haivutii mchezaji kujidumbukiza humu. Mainly kwakua Arteta anakuza profile yake bado na timu haitarajii kuingia UCL. Kwa sasa timu yetu tatizo lake ni ufinyu wa kikosi na Stan na siyo kocha.
Watu hata hii picha hawaikumbuki
Inatosha Mzee Baba utakimbiza watu humu Jukwaani nachokukubaligi una DATA and EVIDENCEHii ni 2019 Jesus yupo City na ninaappreciate uwezo wake