Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuhusu Jesus
Tuna muhitaji :
ikiwa price 30-35, umri, experience, anacheza kama 9, wings,

Hatumuhitaji:
price greater than 36 (matumiz mabaya ya pesa)

Ikitokea Jesus anatua arsenal, hatutaishia hapo, lazima atafutwe 9 nyinginge
Kumbuka Ed, laca, wanaondoka. Auba ndio hatunae tena

Jesus anaweza kuwa bora kuliko alivyokua city
Pata reference kwa SALAH au De brune flop walizopitia

Kane/Haland wanaweza kuwa wabovu kama ilivyo kwa Hazard, Shevchenko

Mpira upo hivyo. Cha msingi ni kuangalia kocha kaona nini kwa Jesus

Tammy ntakuja kumuelezea baadae
Nimekuelewa sana ndugu , nasubiria kwa Tammy
 
Lin ulimuona Odegaard happy arsenal alicheza RW?

Smith Rowe ndio mwenye sifa au profile za RW,na AM au false 9 kwa mujibu wa Kocha

Arteta alimsajiri Odegaard kama AM,, kinachofanyika wanaongezwa wengine tu ili acheze 4-3-3 complete

Niliwahi kukwambia hapa Arteta now hachez 4-2-3-1 ukanibishia , on paper unaoneshwa 4-2-3-1 ,uwanjani ikawa tofaut

Sasa unasema Odegaard sio AM wakat Arteta amemsajiri kwa hiyo role , ila unataka tu kufa na tai shingoni

Tujifunze kukubaliana hata kama Jambo lipo tofaut na mtazamo wako
Kwani we jamaa umeona Winga wangapi wamekua AM? Wa kwanza Grealish, kisha kuna Buendia.

Sasa kuna ajabu gani Odegaard kucheza kama AM? Wakati namba yake ya asili ni Winga? Sijajua wapi huelewi, akiwa anasajiliwa Arsenal alisema kwamba anafurahia kucheza kutokea kulia (Namba ya Bukayo) ila anaweza kucheza kama AM na atasikiliza maamuzi ya kocha.

Mimi nikasema Odegaard siyo AM. Kwamba anadeliver haimaanishi yeye ni AM naturally. Hata timu ya taifa kuna mechi anacheza kama RW haswa Sorloth akiwa benchi au majeruhi ila Sorloth akiwepo ndiyo atakua RW na Odegaard anakua AM.

I hope utanielewa sasa.
 
Huyu niliwahi kumwambia hapa Arteta ameachana na 4-2-3-1 na Sasa anatumia 4-3-3 yenye double 8 , akanibishia bila fact kisa tu liverscore wameweka hivo

Now anadai Osmhen Ni mtovu wa nidhamu kwa red 1,
Nigga unatafuta kila angle siyo? Unahama tu.

Haya siku hizi Arsenal inacheza 4 3 3.
 
Aisee yaani tangu asubuhi mpaka mchana namuambia mtu kama price tag itakua juu haina haja ananikatalia ila kaambiwa same thing anakubali.

Sometimes watu wanaamka na watu humu.

Tujihadhari.
 
Sasa kuna ajabu gani Odegaard kucheza kama AM? Wakati namba yake ya asili ni Winga? Sijajua wapi huelewi, akiwa anasajiliwa Arsenal alisema kwamba anafurahia kucheza kutokea kulia (Namba ya Bukayo) ila anaweza kucheza kama AM na atasikiliza maamuzi ya kocha.
Odegaard Ni AM ndio main position yake kutokana na profile zake, Ni sawa Leo uniambie Saka Ni LB kwakuwa tu alicheza huko, Baada ya Arteta kukaa na saka akaona ana profile za RW ,na ndio imekuwa main position yake

Odegaard amecheza hizo LW na RW lkn Hana profile kubwa zakukupa matokeo ktk hizzo position,

Ndio maana toka Aje Arsenal hajawahi kucheza hizo nafas, japo tunajua akiwa kinda alipita hizzo nafas ,

Arteta kamsajiri kama AM, huku Smith Rowe nae Ni AM ,LW na false 9,

But Ni Rowe tu ndiye anaye rotate kwenye hizo nafas huku Odegaard akibak kama AM ,

Screenshot_20220427-130604~2.png
 
kwa namna arsenal inavocheza hasa timu ikiwa n mpira ,odegaard role yake ipo clear kabisa kwamba ni playmaker ama kwa jina jingne AM na so far ameonesha kuimudu kwa kiasi cha kuridhisha nafasi yake..
 
Mwalimu pia amewataka lokonga, tavares, runnarsson...
Huu si uzi wa washabiki? Nia ya swali langu ni kujua mawazo ya watu kwamba hawa majamaa watatusaidia vipi, mfano abraham ni mrefu atasaidia kuokoa kona na kusimama kwenye ukuta kwenye freekicks
Anayemtaka ni mwalimu na anamkubali
 
Ngoja nikujibu.

Mimi nimekua naangalia almost kila mechi kwa EPL na baadhi kwa ligi zingine siyo ya Arsenal pekee bali hata ya vilabu vingine hii ina/ ime/ ili/ pelekea nikiwa namtaja mchezaji na kusema sifa zake sizisemi kwakua nimesoma mtandaoni takwimu hua nazisema kwa nilichoona.

Mara chache hua narely kwenye stats ila mara nyingi hua naandika ambacho nimekiona.

Na kwa nilichoona kwa Tammy akiwa Chelsea mimi naona nipo sawa ninaposema hafai Arsenal na price tag yake ni balaa jingine. Kwa Lewin nilisema hafai pia na sababu niliyowahi kusema hivyo ni kwakua hawa wawili ikatokea mmepigwa low block basi ujue siku hiyo hampati kitu kutoka kwao.

Pia wote ni wazito hawana pace wakati siku hizi tunataka ST anayeweza kuja katikati tukaenda naye goli la mpinzani huku wote tukiwa speed.

Kwa Roma Tammy amekua mzuri. Ila hii ni sawa na Lukaku kwa inter alikua mzuri, 90 Million later anasugua benchi. Kwanini utumie 80M sasa ikiwa hii pesa inakupa Nunez?

Tuje kwa Gabriel. Yeye alikua anasubiri mbele ya Aguero msimu ambao kacheza mechi nyingi zaidi EPL wa 19/20 hakuonyesha improvement kubwa hii ikapelekea atakiwe Kane na sasa anatakiwa Haaland. Huu msimu alifunga magoli 14 na Aguero alifunga 16, Aguero kacheza mechi 24 kwa idadi hii inamanisha ama walikua wanapishana au at one point wote wawili walikua uwanjani.

Na je wote wawili walipokua uwanjani nani alikaa ST?

Kwanini nionekane sipo sahihi kusema huyu ni second choice? Swali la msingi ni 'Je tunamhitaji?' jibu langu ni 'Ndiyo' 'Kwa price ya juu?' jibu langu ni 'Hapana'.
Me sijaandika hayo kuhusu wewe kwenye issue ya Jesus au Tommy, bali ni overview ya mada kadhaa katika kipindi cha karibuni

Kwa upande wangu mie nasubiri Tu atakaekuja maana hakuna shabiki ambae hataki team yake iwe na striker/wachezaji Bora, ila sio kila club inaweza kufanikisha hilo na kama linashindikana basi ni kufanya kilichopo kiwe na ufanisi mzuri

Leo hii Arsenal yupo nafasi ya 4, dhidi ya team yenye kina Kane, Ronaldo,Sancho, Bruno,son,pogba dhidi ya wachezaji wa Arsenal kama Martin,saka,Rowe,Martinel,laca

Kwahiyo kwenye mpira sio mara zote wachezaji/majina makubwa yanaweza kukupa guarantee ya mafanikio, Kwa Aina ile ya wachezaji waliopo pamoja na uchanga wao na wanachokizalisha naimani kocha anajua ni kipi aongeze au apunguze, tulipasuka hela nyingi Sana Kwa Pepe na alipotoka alikuwa kaprove ila hadi Leo hajazalisha tulichotegemea coz system imemkataa

Kulingana na position ya Arsenal ulaya Kwa sasa ni ngumu ku compete na vilabu vyenye ushawishi juu ya majina makubwa, kwahiyo Unapokosa kitu unachokitaka katika Maisha inabidi ukipende ulichonacho na hakuna namna ingine

Mie Acha niendelee kusoma mawazo ya wadau Mkuu, ila sidhani kama Jesus ana ubaya huo ambao mmekuwa mnausema, maana ata km ww ndo ungekuwa Nunez/Halaand/vlahovic and the alike, ungekubari kwenda Arsenal?

Me naamini Arsenal inayotengenezwa sasa ndio itakuja kuvuta badae hayo majina makubwa Kwa kutumia resources ambazo zinaonekana za kawaida Kwa sasa ila zenye matokeo chanya, maana uzuri anachokifanya Arteta kinaonekana
 
Abraham na Jesus me sivutiwi na uchezaji wao Bora amlete mmoja ampe muda na imani Nketiah atakuja kuwa striker mzuri sisi watu wenye jicho la mpira tusha mwona
 
Dadaki Yani umununue Abraham kwa mchuzi wote huo pale bundasliga Kuna striker wazuri Sana
 
Odegaard Ni AM ndio main position yake kutokana na profile zake, Ni sawa Leo uniambie Saka Ni LB kwakuwa tu alicheza huko, Baada ya Arteta kukaa na saka akaona ana profile za RW ,na ndio imekuwa main position yake

Odegaard amecheza hizo LW na RW lkn Hana profile kubwa zakukupa matokeo ktk hizzo position,

Ndio maana toka Aje Arsenal hajawahi kucheza hizo nafas, japo tunajua akiwa kinda alipita hizzo nafas ,

Arteta kamsajiri kama AM, huku Smith Rowe nae Ni AM ,LW na false 9,

But Ni Rowe tu ndiye anaye rotate kwenye hizo nafas huku Odegaard akibak kama AM ,

View attachment 2202218

Mimi naona nikuache ndugu yangu nimeandika kila ninachojua. Siku nyingine.
 
Mwalimu pia amewataka lokonga, tavares, runnarsson...
Huu si uzi wa washabiki? Nia ya swali langu ni kujua mawazo ya watu kwamba hawa majamaa watatusaidia vipi, mfano abraham ni mrefu atasaidia kuokoa kona na kusimama kwenye ukuta kwenye freekicks
Runnarson ilikuwa backup na aliyeshauri alikuwa mwalimu wa makipa,

Tavares Ni backup LB , mm sijaona ubaya wake kias hicho, Zaid anahitaji kukua na kubadilika angle kadhaa ,

Lokonga namuelewa sana huyo dogo, Ni potential , najua Kuna criticism nying juu yake , ila ukweli dogo Ni potential ila epl tu inahitaji nguvu, mbona alicheza na Partey karibu game 9 hatukufungwa ,

Juz na soton man of the match Ben foster , possession 80 kwa 20 ,Kiungo lokonga

Sema weng mnaangalia matokeo na kuwatupia mzigo baadhi,

Ninachojua Arsenal ya Sasa haisajiri tu, Kuna sifa mwalimu anakuwa anazo za anayemuhitaji ,
 
Me sijaandika hayo kuhusu wewe kwenye issue ya Jesus au Tommy, bali ni overview ya mada kadhaa katika kipindi cha karibuni

Kwa upande wangu mie nasubiri Tu atakaekuja maana hakuna shabiki ambae hataki team yake iwe na striker/wachezaji Bora, ila sio kila club inaweza kufanikisha hilo na kama linashindikana basi ni kufanya kilichopo kiwe na ufanisi mzuri

Leo hii Arsenal yupo nafasi ya 4, dhidi ya team yenye kina Kane, Ronaldo,Sancho, Bruno,son,pogba dhidi ya wachezaji wa Arsenal kama Martin,saka,Rowe,Martinel,laca

Kwahiyo kwenye mpira sio mara zote wachezaji/majina makubwa yanaweza kukupa guarantee ya mafanikio, Kwa Aina ile ya wachezaji waliopo pamoja na uchanga wao na wanachokizalisha naimani kocha anajua ni kipi aongeze au apunguze, tulipasuka hela nyingi Sana Kwa Pepe na alipotoka alikuwa kaprove ila hadi Leo hajazalisha tulichotegemea coz system imemkataa

Kulingana na position ya Arsenal ulaya Kwa sasa ni ngumu ku compete na vilabu vyenye ushawishi juu ya majina makubwa, kwahiyo Unapokosa kitu unachokitaka katika Maisha inabidi ukipende ulichonacho na hakuna namna ingine

Mie Acha niendelee kusoma mawazo ya wadau Mkuu, ila sidhani kama Jesus ana ubaya huo ambao mmekuwa mnausema, maana ata km ww ndo ungekuwa Nunez/Halaand/vlahovic and the alike, ungekubari kwenda Arsenal?

Me naamini Arsenal inayotengenezwa sasa ndio itakuja kuvuta badae hayo majina makubwa Kwa kutumia resources ambazo zinaonekana za kawaida Kwa sasa ila zenye matokeo chanya, maana uzuri anachokifanya Arteta kinaonekana
Sijasema Jesus mbovu. Nimeandika kitu kingine ila hoja zinajengwa kwenye kitu kingine.

One of us is wrong. Mimi nakuacha. Siku nyingine.
 
Abraham na Jesus me sivutiwi na uchezaji wao Bora amlete mmoja ampe muda na imani Nketiah atakuja kuwa striker mzuri sisi watu wenye jicho la mpira tusha mwona
Yaani Nketiah unamuona Bora?

Mm ndio maana napenda kusema tumuache Kocha, akisajirri akifel atarud sokon,
 
kwa hizi crosses za wachezaji wetu?
Ndugu yangu, mimi nimewajibia wanaosema Tammy ni mwamba watakuja kutuelewesha zaidi ya hoja dhaifu ya kocha kamtaka.

Ila hata hivyo Lokonga ni mchezaji potential sana. Akiendelezwa vizuri utakua unamuangalia Verrati au Locatelli
 
Back
Top Bottom