Ona hapa.
Lampard aliahidi kikombe msimu huu. Juzi katolewa carabao, anabaki kwenye FA, ligi na UCL.
Ongea ukweli wako unahisi katika FA, ligi na UCL ni kikombe kipi atachukua?
Klopp kafungwa na Arsenal mara mbili, ya pili akatemeshwa na ngao ya hisani. Akatumia wiki nzima kunung'unika na kuchimba watu mikwara juu ya anfield. Kashinda mechi ya kwanza, ya pili kafurumushwa carabao.
Baada ya mechi kama kawaida kunung'unika.
Kuna Ole. Wakina Keane wamemuambia fungate limeisha alete vikombe. Lakini Ole ndiyo kwanza yupo kwenye majaribio ya formation.
Hizo timu mid zao thamani ni kuanzia 130+M
Kisha kuna Arteta...

|| Arsenal have been in discussions with Rennes in the last hours, about the possibility of sending William Saliba on loan [Via - @Telefoot_Chaine].