Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Partey Kuna tetes Ni injury

Arsenal wameficha ,Ghana wameropoka

Arsenal walikuwa wanataka wamuuze Saudi maana dirisha lipo wazi ,Ghana kwa uropokaji wao wameharibu

Jamaa kaumia inasemekana nje miezi 3-4

Kuna Muda Arteta na Edu walikuwa sahihi kabisa kutaka kumuuza Partey, Leo nakiri wazi kabisa

Jamaa anapata sana injury sijui kwanini yani

Ni muda Sasa wa Fundi Jorginho na Rice
 
Kuna mtu eti anaitaja Newcastle humu

Eti nahamia Newcastle

UCL kwa lile kundi wataburuza mkia
 
Partey Kuna tetes Ni injury

Arsenal wameficha ,Ghana wameropoka

Arsenal walikuwa wanataka wamuuze Saudi maana dirisha lipo wazi ,Ghana kwa uropokaji wao wameharibu

Jamaa kaumia inasemekana nje miezi 3-4

Kuna Muda Arteta na Edu walikuwa sahihi kabisa kutaka kumuuza Partey, Leo nakiri wazi kabisa

Jamaa anapata sana injury sijui kwanini yani

Ni muda Sasa wa Fundi Jorginho na Rice
Kama kweli partey kapata injury, nadiriki kusema ni muda sahihi wa kutuachia timu yetu
 
Partey Kuna tetes Ni injury

Arsenal wameficha ,Ghana wameropoka

Arsenal walikuwa wanataka wamuuze Saudi maana dirisha lipo wazi ,Ghana kwa uropokaji wao wameharibu

Jamaa kaumia inasemekana nje miezi 3-4

Kuna Muda Arteta na Edu walikuwa sahihi kabisa kutaka kumuuza Partey, Leo nakiri wazi kabisa

Jamaa anapata sana injury sijui kwanini yani

Ni muda Sasa wa Fundi Jorginho na Rice
Licha ya injuries ila kiukweli Partey ni Bora kuliko Rice na Jorginho. Na kama issue ni injury prone mbona Zinchenko na Jesus hawauzwi?
 
Jamani Newcastle yupo huko anabakwa na Brighton... Yule jamaa aliyehama Arsenal kwenda newcastle Mimi namchora tu!... Kutokuwa na msimamo kwenye maisha ni jambo BAYA sana
 
Partey Kuna tetes Ni injury

Arsenal wameficha ,Ghana wameropoka

Arsenal walikuwa wanataka wamuuze Saudi maana dirisha lipo wazi ,Ghana kwa uropokaji wao wameharibu

Jamaa kaumia inasemekana nje miezi 3-4

Kuna Muda Arteta na Edu walikuwa sahihi kabisa kutaka kumuuza Partey, Leo nakiri wazi kabisa

Jamaa anapata sana injury sijui kwanini yani

Ni muda Sasa wa Fundi Jorginho na Rice
Hakuna kitu kinaniuma kama kukosekana kwa Partey kwenye Dimba la Chini pale

kuumia kwake ni pigo pia kwetu dirisha ndo lishafungwa hatuna teba uwezo wakusajili mchezaji mwingine,

Hamiss je akiumia Na Zinny ndo mfumo mzima wa Arsenal unavurugika wote? ???
 
Partey Kuna tetes Ni injury

Arsenal wameficha ,Ghana wameropoka

Arsenal walikuwa wanataka wamuuze Saudi maana dirisha lipo wazi ,Ghana kwa uropokaji wao wameharibu

Jamaa kaumia inasemekana nje miezi 3-4

Kuna Muda Arteta na Edu walikuwa sahihi kabisa kutaka kumuuza Partey, Leo nakiri wazi kabisa

Jamaa anapata sana injury sijui kwanini yani

Ni muda Sasa wa Fundi Jorginho na Rice
Kuna taarifa pia zinadai mazoezi ya leo alikuepo.
 
Labyrinth 84 team yako niaje?ndio one season wonder au
Hyu huwa anakaza shingo hmu ndani kutetea kigenge chake kama Wana maana vile....Almiron na Gordon wakupe ubingwa kwli??🤠🤠🤠...nilimwambia ile timu wanachojua ni kukimbiakimbia tu....leo wamekutana na mwanamahesabu wametupa taulo
 
Back
Top Bottom