Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 667
- 1,648
Chelsea = NGIRIPORI FC
Mkuu hapo chini ndio umeua kabisaDah hili jukwaayaani hatuna mechi ila uzi uko no 1 trending.watu wanapigana spana balaa na ni nzuri kwa afya ya jukwaa.
Kuna mtu aliwahi nambia yafuatayo.
1.ukitaka kwenda mbali kimbia,ila ukitaka kufika mbali heshimu watu unaoongozana nao katika safari yako maana huenda wanajua huko mbali unakotaka kwenda.mashabiki tupendane.activenes ya group inamhitaji kila mtu.
2.kama hujawahi kusikia au kuona jambo isiwe sababu ya wewe kuamini halipo.tusiamini tu katika mifumo tunayoijua kwamba ndo italeta mafanikio bali mifumo ilitengenezwa,inatengenezwa na itatengenezwa na itatushangaza.
3.ndoto na maono(dream & vision) vinaufanano mkubwa katika tofauti zao.kocha wetu na wachezaji wetu tusiwalinganishe na wengine maana wanafanana lakini hawalingani.
4.milango yote ya fahamu(macho,masikio,pua,ngozi) vimewekwa nje na vinaonekana wazi muda wote iwe vinatumika au havitumiki,jiulize kwanini ulimi umefichwa na unaonekana wakati wa matukio pekee(kuongea).
Kila mtu na aangalia anavyozungumza hapa jukwaani hasa anapotoa ulimi wake kwa njia ya maandishi.
#Arsenal ndoo
#Nketiah kiatu








Unajua bro ishu ni kwamba kuna watu tukiona mchezaji hatuendi kusoma maoni ya watu kwanza ili tujue tunamjuaje.Inatosha Mzee Baba utakimbiza watu humu Jukwaani nachokukubaligi una DATA and EVIDENCE
Hii ni leo kabla Chelkenge halijabamizwa mimi nasema Pochettino siyo kocha mzuri.Sasa wewe unavyosema Erik hafai umewahi kufundisha timu gani mzee?
Mbona unaanza kuleta hoja za kinyumbu?
Binadamu tumejaaliwa akili, hizo ndiyo tunatumia kufananisha na kuchanganua. Akili zako zinakuaminisha Kai ni mchezaji mzuri kwa mwingine haipo hivyo.
Mimi hua nasema Pochettino mbovu wewe unasema ni mzuri na kila.mtu anatoka hoja zake. Kwanini kwa Arteta hutoi hoja unakimbilia hoja anazotakiwa kuleta nyumbu?
Hahaa kuna sauti inaniambia huu mwaka wachezaji wetu wakipata proper psychological treatment basi kuna kitu tunaweza fanyaMkuu hapo chini ndio umeua kabisa
Arsenal NDOO
hiyo ndoo inaandikwa hivyo![]()
At the moment huyo mtu ni MARTIN ODEGARDKuna watu wanaamini tuna best midifield.pengine kwa wengine ni kweli ila kwangu naona a missing piece of puzzle.
Kwa timu inayocheza mpira wa style ya arsenal,man city,barcelona au hata ajax basi kuna aina ya mchezaji kwenye kiungo cha juu LCM au RCM au namba 10 hasa ambaye watamhitaji kudrive team na ku unlock pattern na kutengeneza pattern.
City waliwahi kuwa na david silva na sasa wana bernado silva,aisee ogopa hawa watu.
Barca ilikuwa na iniesta na xavi,haasa iniesta.
Arsenal ya wenger iliwahi kuwa na hleb,wilshere,nasri ila the beast alikuwa ni CARZOLA.hata rosisky pia
Hivi ushawahi jiuliza kama ingetokea muda unarudi nyuma ukawa na midi ya PARTEY,CARZOLA na WILSHERE au FABRIGAS.
Ubora wa partey hatuuoni vizuri kwa sababu ya kukosa kiungo DRIVER.
kama ARTETA atamuamini vieira na akajaribu kumtumia katikati au kama 10 basi tutaona ambacho hatujawahi ona hasa kama fomu ya vieira itaendelea kukua.
Kuna quality haitengenezwi ila ni kipaji.GUARDIOLA kakaza sana kutomuachia bernado kwasababu kishampoteza GUNDO.
haya ni maoni yangu we need a driver.mtu ambaye anaweza akachekecha akapenya na akatoa pasi au ikibidi aka score.
Kama kuna mchezaji natarajia awe turning point ya arsenal basi ni vieira.ile akili yake na vision na comfortability hufundishwi tu bali ni tafsiri sahihi ya neno FOOTBALL INTELLIGENCE
Uefa au LigiHahaa kuna sauti inaniambia huu mwaka wachezaji wetu wakipata proper psychological treatment basi kuna kitu tunaweza fanya
Itunze hii. SijalewaMimi na wewe huwa tunaendana kimtazamo sometimes kusifia sana kitu ambacho kiuhalisia ni nothing ujue ni ujinga tuUnajua bro ishu ni kwamba kuna watu tukiona mchezaji hatuendi kusoma maoni ya watu kwanza ili tujue tunamjuaje.
Hua tunamuangalia mchezaji au mechi tunasema tulichoona, articles hua tunaziangali kuona ni kipi wenzangu wanaona mimi sikioni.
Hapa tuna mashabiki ambao hawaongei mawazo yao kila wanachaondika ni wamedokoa article online na kuileta. Na haitusumbui tunaishi nao.
Tumefanya usajili wa Kai, tangu Kai yupo Chelsea nilikua nasema hana finishing yeye na wenzake lakini shabiki mwingine anakopi article inayoelezea pros za Kai kuja Arsenal na anaamini ni itawork out hivyo tu bila kuangalia factors zingine
Hakika broh Ode ni brain kwa arsenal kwa kiasi kikubwa tuAt the moment huyo mtu ni MARTIN ODEGARD
Huyo ndio anapelekewa mipira muda wote, yeye ndio anafanya turns zake na kutafuta penetration
Ode na Veira
Hawa ndio wenye quality hiyo
Ili acheze Kai, partey au rice mmoja aanzie bench, na sio odegard
Kiuongo kikwa na partey, rice, Kai
Hapo odegard yupo bench tutarukaruka tu, na kutafuta magoli ya papatu papatu
Kama unaingia sokoni, kutafuta quality katika hauo majukumu, yupo Frank dejong pale Barca kumtoa ndio inshu
Leo Fulham alikutana na team ambayo ilikuwa serious kusaka point 3 na sio timu inayojaribujaribu mifumo kwenye match zinazohitaji userious.Tuliyedroo nae nyumbani kagongwa tano... arteta hakuna kitu anafanya
Japo ime-sound kishabiki ila ni ukweli mtupuLeo Fulham alikutana na team ambayo ilikuwa serious kusaka point 3 na sio timu inayojaribujaribu mifumo kwenye match zinazohitaji userious.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimwambia yule Labyrinth 84...bdo wao ni watoto wadogo sana🤠🤠....akawa anabwatabwata tu....wakimaliza top 4 msimu huu tupo hapa🤠🤠newcastle huu mpira ndio wakienda nao UCL kule.. kuingia round of 16 itakuwa maajbu.
Flano Yuko wapi aje kumjaza ujinga jamaa yake🤠🤠🤠Nilimwambia yule Labyrinth 84...bdo wao ni watoto wadogo sana🤠🤠....akawa anabwatabwata tu....wakimaliza top 4 msimu huu tupo hapa🤠🤠
Noted mkuuMkuu hapo chini ndio umeua kabisa
Arsenal NDOO
hiyo ndoo inaandikwa hivyo![]()
Yule HAMIS77 ni CHAKUBIMBI mmoja anayejifanya anajua kila kitu kumbe PIMBI tu,halafu anajiita MCHAMBUZI nguliThe same Kai angekuwepo Chelsea au timu nyengine, tungemuona hamis77 na comment hizi:
"Nilisema tangu mwanzo, Havertz sio mchezaji. Mmejaza ma- average players.
Muda utaongea."
"Huyo Havertz wenu atahitaji nafasi 10 kwenye mechi ili ashinde, hayupo clinical.
Kila siku nasema hili ila watu wa humu mmekaza vichwa."
jamaa yenu kila kitu kasema yeye.

The same Kai angekuwepo Chelsea au timu nyengine, tungemuona hamis77 na comment hizi:
"Nilisema tangu mwanzo, Havertz sio mchezaji. Mmejaza ma- average players.
Muda utaongea."
"Huyo Havertz wenu atahitaji nafasi 10 kwenye mechi ili ashinde, hayupo clinical.
Kila siku nasema hili ila watu wa humu mmekaza vichwa."
jamaa yenu kila kitu kasema yeye.





