Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuache upigaji ramli

Kikos kitakachoanza kesho Ni kutokana na wachezaji mazoezini kupambania namba

Tupunguze chuki dhidi ya kai, hata Kama mchezaji humpend Basi tusifikie kupiga ramli akianza tutakawia kushinda ,

Wangapi humu mlikuwa hamtaki hata Jesus asajiliwe

Nketiah auzwe ,n.k


Leo wapo wapi
Kai ni mamluki toka darajani, Kai ametumwa Asenyo kwa lengo moja tu la kuishusha timu daraja.
 
Why tunapenda kuongea ushabiki ,

Partey amecheza RB kabla hata Kai hajaja Arsenal ,hii hoja yenu inaonesha mlivyo na Chuki ,Partey amekuwa Bora kwa kuoikwa Lakini Partey alipokuwa ATM alikuwa anacheza Sana Defensive Game


Ushahidi huu hapa Mikel kasema


Mikel Arteta:

"I really like like Thomas, and yes at the end it's not my invention, Thomas Partey as a right back

Many seasons ago with Atletico Madrid with one of best defensive coaches in the world, he played as a fullback."
[Hayters tv]


Kwanini Unatumia chuki kwa Kai havertz kusema anampanga Partey fullback wakati amecheza kabla ya Kai hapo Arsenal ,amecheza CB na RB kwa Simeone


Hoja Kama hizi zinawafanya mnajaza chuki


Ndio Maana nasema humu uelewa wa mpira ni mdogo Sana
Uwe unaelewa.

Ili Rice na Kai wapangwe inabidi Partey awe RB na White awe CB na Gabriel awe benchi.

DM kucheza beki ni jambo la kawaida mno kama ndiyo kwanza unaona kwa Arteta basi subiri
 
humu tunataka kuanzisha kampeni ya "Masingeli bringback our team"
Masingeli sasa hivi amejimilikisha hili jukwaa lazima twende nae toe to toe mpaka ateme ndoano.
Mpaka kesho baada ya mechi Masingeli asipotema ndoano niulizwe mimi.
Sasa hivi humu hata kuhoji haturuhusiwi, ukihoji tu Masingeli anakwambia uonyeshe leseni ya ukocha na utaje timu uliyofundisha hata kama ni timu ya kanisa au msikitini.
Huwa nakuuliza Kuna mtu analazimishwa kunikubali humu?


Ni hivi nina hoja nzito Sana nimesha prove wrong ujinga mwingi Sana humu na hata kwenu


Uelewa wa soka humu Jf ni mdogo, uwezo wa watu kuchanganua mambo Ni mdogo Sana


Ndio Maana a lots of fans hawajui chochote


Humu humu Hawa wapayukaji walisema Mikel anakosea kumnunua Jesus kwa £45m,hafai

Nilipambana nao leo hao hao wanamshabikia Jesus ,huo Ni mfano tu


Kwahiyo elewa kwanza Mimi hoja zangu Ni nzito , ukitaka chochote kuhusu football tujadiliane hoja kwa hoja mwisho lazima unichukie uniite majina mabaya
 
tena wewe Castr umetoka mbali sana na hii timu, katika mashabiki wakongwe wa Arsenal wewe ni miongoni mwao, binafsi katika mashabiki wa Arsenal humu jukwaani wewe hua nakuheshimu sana, najua wapi ulitoka na hii timu mpaka kufikia hapo mlipo, ajabu kuna watu hivi sasa wanataka kuwanyang'anya mpaka uhuru wa kutoa maoni tu juu timu yenu kisa hamjawahi kufundisha hata timu ya kanisa
Wewe Flano umekuja juzi tu, sisi tupo humu toka Wenger ,Emery
 
Jukwaa limepoa hili ngoja tulichangamshe kidogo.
Masingeli mzee wa ngwasuma ameamua kujifanya yeye ni Profesa Lipumba halafu hili jukwaa ameligeuza kama vile chama chake cha CUF, yeye ndio kasababisha mpaka Seif Sharif Hamadi (Labyrinth 84 ) amehamia ACT (Newcastle) Masingeli usipoacha udikteta wa kutaka watu kabla ya kuhoji waonyeshe timu alizowahi kufundisha chama kitakufia mikononi hiki shauri yako, utapoteza wanachama mmoja mmoja mpaka utajikuta umebaki peke yako humu.
"Masingeli bringback our team"



#Arsenyo ndoo
#Kai Kiatu
Wewe niite vyovyote ,Mimi na kauli moja siendeshwi na wengi wanasemaje maana nishawa prove ujinga wao humu
 
hamis77 ameenda kwenye jukwaa la Liverpool kuwaambia kuwa wamepigwa kwa Ryan Gravenbech, mchezaji ambae ndio kasajiliwa jana hajacheza hata mechi moja, at the same time yeye ana Kai Havertz ambae mpaka sasa ana mechi ya 3 na alichokicheza anajua yeye na Arteta wake.

Nieleweke, sio kama namchukia jamaa, in fact alichokisema kule sio kiutani maana ingekua hivyo nisingeileta humu, yeye ameweka na facts zake uchwara na anategemea watu wamsikilize wamuamini. Goddamit!
Unanifatilia Sana Safi Sana ,

Chuki uliyojaza moyon mwako juu yangu itakufanya ukonde

Umekaa unamchukia Kai kisa mkumbo tu
 
Humu wengi uwezo mdogo wa kufikiri

Na mara kibao nimekuwa na wa prove wrong

Kuanzia anakuja Øde,Rams
Ngoja kwanza tuanzie hapa.

Wewe si umeanza kuonekana humu kuanzia msimu ulioisha?

Sasa tuambie wakati anasajiliwa Ødegaard na Ramsdale ulisema wapi hizo hoja zako?

Labda uwe umebadili ID.

Unaonekana wewe ni kama Aaron Arsenal , but still nashangaa kwa sababu Aaron hakuwa hivi na tabia ya ku-exaggerate mambo kama ulivyo wewe.
 
Inaonesha kutokuwai kufundisha ata timu ya kanisa imewaumiza Sana


Fact siku zote Ni mwiba ,

Mtu hajawahi kufundisha hata timu ya kanisa anahoji mbinu za Mikel

Nawajua watu humu walihoji sajili za Øde Kuna mtu alikomaa humu anadai Mikel anazingua anamrudisha Øde anashindwa kusajili AM ,

Last season wameponda usajili wa Trossard wanasema umri umeenda

Wameponda usajili wa Jesus


Season hii walianza na Fabio Vieira auzwe au atolewe mkopo


Sasa hivi wamehamia kwa Kai havertz


Hawajifunzi mara zote hizo wanaingia Cha kike
 
Unatakiwa umwambie Arteta Ili ajirekebishe!..sio kutuambia sisi!.. hapa unatupigia tu kelele maana hatutakusaidia Kwa lolote!... Ki ukweli tunajifurahisha tu hapa... Edu na Arteta hawajui kama Huku Tanzania Kuna watu hawaridhiki... Nakupongeza kwa kuchangia timu Kwa kununua jezi!.. Kuna watu wanajiita Mashabiki hawajawai kununua hata leso tu ya kufutia jasho yenye chat ya Arsenal.. ila Sasa Huku jukwaani wanavulumisha matusi magumu magumu!
 
Hili jukwaa jinsi Masingeli mzee wa ngwasuma avyoliendesha huko tunapoelekea kama hauna leseni ya ukocha itakua ni marufuku kucomments humu.
Mkuu Kuna mtu niliwahi mkataza ku comment?

Hoja zangu zinawalimit hivo option Ni matusi na kashfa

Halafu nawavutia pumzi wote wenye matusi ,
 
bado hamjasema

hamis77 mbona wenyewe wa gunnerstunamkubali sana, kupishana na mawazo ni kawaida
Ila Kuna chokochoko hazivumiliki, na uzuri wa hamis77 anaposimamia ni hapo hapo.

Sasa kilichotokea asilimia 95% kinachoendelea unyumbuni alishakisema, chuki juu yake ndio zinaanza

Kule ukengeni fc, na kocha wao Potter kipindi kile, aliwaambia vitu criticals na kweli vilivyotokea wote mliona

Sasa mtu Kama huyu Kama sio kuchukiwa Basi ni kumuundia kamati za kumchafua tu
Kule unyumbuni ili waonekane wanapingana na Mimi kwasasa wanamsifia 7hag kinafiki
 
Lengo langu lilikuwa kuonyesha kwamba fans wasijione wanyonge. Wana haki ya kuhoji. Kitu kimoja unapaswa kuelewa, hapa jukwaani we don’t communicate with KSE/ Edu/Arteta; we are just expressing our feelings within ourselves. Kumbumbuka
Timu na investors wanategemea fans kwa zaidi
ya asilimia 80. Kwa hiyo lazima tuseme
Tatizo watu wanaongea pumba kibao ,

Nakupa mfano wa pumba ambayo ikiwekwa fact wanajaa hasira

Mtu anakwambia kwanini Arteta anatumia 3-4-3 na sio 4-3-3

Mikel alijibu Ni sababu kwanza anataka kuwa unpredictable,pili kuumia kwa Zinny na Timber kulimfanya asitumie 4-3-3,


Shabiki maandazi hajawahi hata kupiga danadana anakwambia siokweli ,na porojo kibao ,akidai Ni sababu ili Kai acheze


Je Partey hakucheza last season as FB ,Kai alikuwepo

Hoja Kama hizi mtu anaona atoe matus , n.k
 
Niwapongeze sana wale shabik wa Gunners mlio na mtazamo tofaut na Dikteta huyu ambaye anatak kuongoza jukwaa hili kimabavu.

Kiukwl mna moyo mgumu sana kuonesha jinsi gn hampendezwi na baadhi ya mambo.

Huyu jamaa anakikundi chake kakiunda ni kdg lkn wanamlinda kweli kweli na hoja za uchwara.

Tembeeni na hashtag hii kupinga udikteta huu uchwara humu

#ArsenalFansHaveRightsToExpressTheirOpinions.
#ArsenalForAll
#CoYG
Wewe mnafiki unayehamahama timu ,unatafuta engagement humu ?


Aliyekwambia mm naongoza hili jukwaa Nani?


Wewe Ni shabiki Malaya ,kaa ufunge mdomo
 
Duh tayari tena namchukia Kai na ninakuchukia wewe?

This is too low.
Kwa hoja yako hiyo kwamba Partey anacheza RB ili Kai acheze

Huoni kwamba Ni chuki tu kwa Kai , Kama ulivyofanya kwa Øde,na wengine

Hivi hamjifunzagi tu
 
Back
Top Bottom