Dah kesho sijuiTeam I'd pick for Manchester City
• Luiz and Chambers most comfortable on the ball, will progress us nicely (have doubts over Luiz's defending)
• Xhaka out so Guendouzi can build play
• Front three picks itself
• I need to see more dynamism and energy from Özil vs City. View attachment 1292552
TUPO PAMOJA KESHO ALL THE BEST VIJANA.
HahahahahahahahahUnakula muda wako bure, Arsenal atapigwa tu.
Ozil Leo hatakiwi kuanza game hii kabisa game ya Leo ni full kukaba na kufanya counter attack sasa Ozil huwa si mtu wa kukaba na inabidi beki 2 na beki 3 Leo wawe makini dakika zote 90 maana Guardiola huwa anatumia pembeni kuingia ndaniMechi na ST Liege kwakua tulishapita ilibidi icheze timu B kwa sehemu kubwa.
Na hiyo timu B ilitakiwa kushinda goli kuanzia 3 huku yenyewe isiruhusu goli zaidi ya moja.
Hapo ingemaanisha first XI yetu ina uwezo wa kuifunga Man City.
Kwa ile gemu ilivyokua, mimi ninasema leo Arsenal tukishinda itakua haina tofauti na Bournemouth kwa Chelsea au Man City kwa Wolves. Pure luck, no skills, technic, nothing.
Kama tutatumia 4 2 3 1 (Which is very likely) na tukapanga katikati watu wanaoweza kupigania mpira hata wakiupoteza, huku mbele feeding ya mipira haitatusumbua.
Naona Aaron Arsenal anapendekeza Martnell akae kushoto na Auba akae kati. Auba ana madhara ya kiwango kilekile ama awe kati au kushoto. Physical strength na pace ni kubwa kwake kuliko Martnell so ni sahihi zaidi (Kama Martnell na Auba wataanza wote) Martnell awe kati na Auba awe kushoto. Kama Laca yuko fit, aanzie kati hapo hapo as kwakua ni majeruhi basi asipate kashikashi za pembeni. Kisha atatoka baadaye.
Pepe huko kulia kunamfaa.
Ozil, a guy hua anapotea mechi kama hizi leo akipangwa na akijikaza tutaput up a fight. Kiukweli gemu kama hii mtu kama Ceballos ni wa muhimu, too bad he on bed, sijui kama Tierney yuko fit but if he is na akacheza LB zile cross zake zitatupa advantage ya kuwaongezea hofu wapinzani.
Luiz na Mustafi wasicheze pamoja. Instead Chambers na Luiz au Chambers na Mustafi ndiyo wacheze pamoja.
Xhaka alituharibia gemu aliyocheza akajeruhiwa so tumchukue beki mmoja acheze kama DMF yeye na Torreira. Guendouz hana kontro, stamina, skills wala speed alichojaaliwa ni maono ya kupeleka mpira mbele, akicheza ni kamari nyingine tunaiingia.
Sijui kwanini ila naona Niles akicheza kama RB. Pia tabia iwe ni 'Play FROM the back' na siyo 'Play AT the back' these guys have Jesus, Aguero, Sterling, Sane, Silva, KDB, who pose the same threat kama tuta'play AT the back'
#WeMove
auba ni mzuri akiwa kati kazi yake ni kumalizia. auba huwa sio mzuri akiwa either kushoto au kulia. pepe kulia na martineli kushoto. mashaka ni kwenye defensive hasa namba ya maitland niles hakuna mbadala pale. na kati pale kwenye defensive pair nzuri ni chambers na sokratis.Mechi na ST Liege kwakua tulishapita ilibidi icheze timu B kwa sehemu kubwa.
Na hiyo timu B ilitakiwa kushinda goli kuanzia 3 huku yenyewe isiruhusu goli zaidi ya moja.
Hapo ingemaanisha first XI yetu ina uwezo wa kuifunga Man City.
Kwa ile gemu ilivyokua, mimi ninasema leo Arsenal tukishinda itakua haina tofauti na Bournemouth kwa Chelsea au Man City kwa Wolves. Pure luck, no skills, technic, nothing.
Kama tutatumia 4 2 3 1 (Which is very likely) na tukapanga katikati watu wanaoweza kupigania mpira hata wakiupoteza, huku mbele feeding ya mipira haitatusumbua.
Naona Aaron Arsenal anapendekeza Martnell akae kushoto na Auba akae kati. Auba ana madhara ya kiwango kilekile ama awe kati au kushoto. Physical strength na pace ni kubwa kwake kuliko Martnell so ni sahihi zaidi (Kama Martnell na Auba wataanza wote) Martnell awe kati na Auba awe kushoto. Kama Laca yuko fit, aanzie kati hapo hapo as kwakua ni majeruhi basi asipate kashikashi za pembeni. Kisha atatoka baadaye.
Pepe huko kulia kunamfaa.
Ozil, a guy hua anapotea mechi kama hizi leo akipangwa na akijikaza tutaput up a fight. Kiukweli gemu kama hii mtu kama Ceballos ni wa muhimu, too bad he on bed, sijui kama Tierney yuko fit but if he is na akacheza LB zile cross zake zitatupa advantage ya kuwaongezea hofu wapinzani.
Luiz na Mustafi wasicheze pamoja. Instead Chambers na Luiz au Chambers na Mustafi ndiyo wacheze pamoja.
Xhaka alituharibia gemu aliyocheza akajeruhiwa so tumchukue beki mmoja acheze kama DMF yeye na Torreira. Guendouz hana kontro, stamina, skills wala speed alichojaaliwa ni maono ya kupeleka mpira mbele, akicheza ni kamari nyingine tunaiingia.
Sijui kwanini ila naona Niles akicheza kama RB. Pia tabia iwe ni 'Play FROM the back' na siyo 'Play AT the back' these guys have Jesus, Aguero, Sterling, Sane, Silva, KDB, who pose the same threat kama tuta'play AT the back'
#WeMove
Leo ni kukaba tu kufunga ni Majaliwa ila tukitaka na sisi kucheza Mpira na timu yetu hii yenye beki za kikekike tutapata humiliationMechi na ST Liege kwakua tulishapita ilibidi icheze timu B kwa sehemu kubwa.
Na hiyo timu B ilitakiwa kushinda goli kuanzia 3 huku yenyewe isiruhusu goli zaidi ya moja.
Hapo ingemaanisha first XI yetu ina uwezo wa kuifunga Man City.
Kwa ile gemu ilivyokua, mimi ninasema leo Arsenal tukishinda itakua haina tofauti na Bournemouth kwa Chelsea au Man City kwa Wolves. Pure luck, no skills, technic, nothing.
Kama tutatumia 4 2 3 1 (Which is very likely) na tukapanga katikati watu wanaoweza kupigania mpira hata wakiupoteza, huku mbele feeding ya mipira haitatusumbua.
Naona Aaron Arsenal anapendekeza Martnell akae kushoto na Auba akae kati. Auba ana madhara ya kiwango kilekile ama awe kati au kushoto. Physical strength na pace ni kubwa kwake kuliko Martnell so ni sahihi zaidi (Kama Martnell na Auba wataanza wote) Martnell awe kati na Auba awe kushoto. Kama Laca yuko fit, aanzie kati hapo hapo as kwakua ni majeruhi basi asipate kashikashi za pembeni. Kisha atatoka baadaye.
Pepe huko kulia kunamfaa.
Ozil, a guy hua anapotea mechi kama hizi leo akipangwa na akijikaza tutaput up a fight. Kiukweli gemu kama hii mtu kama Ceballos ni wa muhimu, too bad he on bed, sijui kama Tierney yuko fit but if he is na akacheza LB zile cross zake zitatupa advantage ya kuwaongezea hofu wapinzani.
Luiz na Mustafi wasicheze pamoja. Instead Chambers na Luiz au Chambers na Mustafi ndiyo wacheze pamoja.
Xhaka alituharibia gemu aliyocheza akajeruhiwa so tumchukue beki mmoja acheze kama DMF yeye na Torreira. Guendouz hana kontro, stamina, skills wala speed alichojaaliwa ni maono ya kupeleka mpira mbele, akicheza ni kamari nyingine tunaiingia.
Sijui kwanini ila naona Niles akicheza kama RB. Pia tabia iwe ni 'Play FROM the back' na siyo 'Play AT the back' these guys have Jesus, Aguero, Sterling, Sane, Silva, KDB, who pose the same threat kama tuta'play AT the back'
#WeMove
Mkuu Castr umenena vyema sana!.. Hii game ni ngumu mpaka naogopa! Ili tushinde huku nyuma na viungo wakabaji inabidi wafanye kazi kubwa sana!.. Mimi nafikiri nyuma abaki Chambers na sokratis, halafu Luiz kwa kuwa ni mpandisha mashambulizi mzuri acheze sambamba na na torreila hapo mbele!.. Left back sio mbaya sana, shida ni kulia, sidhani maitland niles atauweza muziki wa city leo!.. Mbele sina mashaka hata kidogo!.. Swali la kujiuliza mipira itawafikia kwa usahihi na kwa wakati? Kitu kitu kingine kinachoniogopesha ni iwapo koxha ataamua kumuanzisha Willock maana huyu dogo mimi simuamigi kabisa!.. Kikubwa zana tuombee tupate japo sare, itasaidia kutupa confidence kwa mechi zijazo!...Mechi na ST Liege kwakua tulishapita ilibidi icheze timu B kwa sehemu kubwa.
Na hiyo timu B ilitakiwa kushinda goli kuanzia 3 huku yenyewe isiruhusu goli zaidi ya moja.
Hapo ingemaanisha first XI yetu ina uwezo wa kuifunga Man City.
Kwa ile gemu ilivyokua, mimi ninasema leo Arsenal tukishinda itakua haina tofauti na Bournemouth kwa Chelsea au Man City kwa Wolves. Pure luck, no skills, technic, nothing.
Kama tutatumia 4 2 3 1 (Which is very likely) na tukapanga katikati watu wanaoweza kupigania mpira hata wakiupoteza, huku mbele feeding ya mipira haitatusumbua.
Naona Aaron Arsenal anapendekeza Martnell akae kushoto na Auba akae kati. Auba ana madhara ya kiwango kilekile ama awe kati au kushoto. Physical strength na pace ni kubwa kwake kuliko Martnell so ni sahihi zaidi (Kama Martnell na Auba wataanza wote) Martnell awe kati na Auba awe kushoto. Kama Laca yuko fit, aanzie kati hapo hapo as kwakua ni majeruhi basi asipate kashikashi za pembeni. Kisha atatoka baadaye.
Pepe huko kulia kunamfaa.
Ozil, a guy hua anapotea mechi kama hizi leo akipangwa na akijikaza tutaput up a fight. Kiukweli gemu kama hii mtu kama Ceballos ni wa muhimu, too bad he on bed, sijui kama Tierney yuko fit but if he is na akacheza LB zile cross zake zitatupa advantage ya kuwaongezea hofu wapinzani.
Luiz na Mustafi wasicheze pamoja. Instead Chambers na Luiz au Chambers na Mustafi ndiyo wacheze pamoja.
Xhaka alituharibia gemu aliyocheza akajeruhiwa so tumchukue beki mmoja acheze kama DMF yeye na Torreira. Guendouz hana kontro, stamina, skills wala speed alichojaaliwa ni maono ya kupeleka mpira mbele, akicheza ni kamari nyingine tunaiingia.
Sijui kwanini ila naona Niles akicheza kama RB. Pia tabia iwe ni 'Play FROM the back' na siyo 'Play AT the back' these guys have Jesus, Aguero, Sterling, Sane, Silva, KDB, who pose the same threat kama tuta'play AT the back'
#WeMove
Game kama hizi Emery alikua anamuanzisha Saka, Willock na Nelson sikilizia aibu yake...Mkuu Castr umenena vyema sana!.. Hii game ni ngumu mpaka naogopa! Ili tushinde huku nyuma na viungo wakabaji inabidi wafanye kazi kubwa sana!.. Mimi nafikiri nyuma abaki Chambers na sokratis, halafu Luiz kwa kuwa ni mpandisha mashambulizi mzuri acheze sambamba na na torreila hapo mbele!.. Left back sio mbaya sana, shida ni kulia, sidhani maitland niles atauweza muziki wa city leo!.. Mbele sina mashaka hata kidogo!.. Swali la kujiuliza mipira itawafikia kwa usahihi na kwa wakati? Kitu kitu kingine kinachoniogopesha ni iwapo koxha ataamua kumuanzisha Willock maana huyu dogo mimi simuamigi kabisa!.. Kikubwa zana tuombee tupate japo sare, itasaidia kutupa confidence kwa mechi zijazo!...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi alivyokua mwekundu magoli yalianza kuingia?Kuna yule zeruzeru wa man city, cha kuchunga sana asibadilike rangi akawa mwekundu usoni. Akiwa mwekundu tuu magoli yanaanza kuingia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema ni mbaya akiwa kati. Ila kama wewe ni kocha ni nani bora awe kati na mwingine awe kushoto kati ys Auba na Martnell?auba ni mzuri akiwa kati kazi yake ni kumalizia. auba huwa sio mzuri akiwa either kushoto au kulia. pepe kulia na martineli kushoto. mashaka ni kwenye defensive hasa namba ya maitland niles hakuna mbadala pale. na kati pale kwenye defensive pair nzuri ni chambers na sokratis.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok tutaona
Akiwekewa viungo mawe nyuma yake unaweza usione udhaifu wakeHivi mkiwatimua wachezaji kama kina ozil wakaokote mkopo huko mtaani team itapungukiwa nin
Ka jitu timu inashambuliwa ila kajamaa kanatembea tu uwanjan, hakajui kukaba, kamekaa kilembo lembo tu, kuna muda unajiuliza hiv huyu jamaa kocha anamwona kweli??
Arsenal mkicheza mpira wa kivivu kivivu kama hamjara mnaenda kula gor zaid ya 5
Pep hana huruma hasa akiona team pinzan inayumba, anaweka gor za kutosha, kufunga mtu gor 8 ni kawaida sana kwa pep
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka huyu kiumbe jana sijapata usingizi sababu yakeKuna yule zeruzeru wa man city, cha kuchunga sana asibadilike rangi akawa mwekundu usoni. Akiwa mwekundu tuu magoli yanaanza kuingia.
Sent using Jamii Forums mobile app