Kaisikilize tena Press aliyofanya na hao Epsn Brazil kabla mech na man u Emirates stadium,
Hao wachezaj wawili alimaanisha Big names , amesema msimu huu walisajiri vile kubalance kikos , ila msimu ujao wapo tayari na Kse wamesha approve kutumia hela kubwa kwa signing kubwa 1 or 2, ndicho alichomaanisha sio kwamba watasajiri wachezaji wawili tu
Kuhusu washambuliaji wanahitaji wawili na viungo wawili,
Eddie na Laca hawatabaki , hivo replacement zao ndio hizo ya Kwanza ni Jesus , nyingine ndio wana majina hayo kina Osmhen, Tammy, Nunez, n.k
Hii sajiri ya pili ya ST lazima Kuna hela itatoka kuanzia £50m na kuendelea , ni moja ya hizo signing alizozitaja Edu