Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumebebwa na bahati kwa muda mkubwa umefika muda wa sisi kujibeba wenyewe tumeshindwa kumaintain. Najaribu angalia Arteta kakosea wapi na ninabaki kwenye kusema labda ameshindwa kuizamisha winning mentality kwa wachezaji.
Squad depth ndio changamoto huwezi shindana na city ambayo haya kikosi B kinaweza beba ubingwa. Niliwahi sema mwanzoni mwa msimu nikatukanwa na kuambiwa depth sio muhimu maana Kuna wachezaji Wana chezea multiple positions.

Hivi unategemea kweli Holding ndio beki wa kukushindia ligi?? Hatuna natural RB aliye fit maana White kimahesabu ni CB so angeweza chezea badala ya Holding ila ndio tungekosa RB!! tayari ni tatizo.

Same to Saka au Odegaard sub zao ni Nelson na Vieira seriously? Au Nketiah kwa Jesus?? We need depth ndio tuanze kufikiria ubingwa. Hata msimu ujao tu focus kuwa na benchi imara kuanzia RB/RCB/CDM/ST. Unfortunately hii ndio ilikua best chance maana msomi ujao Newcastle, Man u , liver na Chelsea zitaamka so tunaweza hata tusimalize top 4.

So sad
 
"Nacheka lakini naogopa."


Arsenyani acheni kuota, hamna uwezo wa kumfunga City Etihad. Ubingwa toeni kabisa kwenye mawazo yenu maana huu ndiyo muda wa Pep kufanya vitu vyake.

Haaland kiatu.
Arsenyani kondoo.
Mliambiwa hapa mkawa wabishi matusi na kejeri zilikuwa zenu.
 
Ila wewe jamaa hamis77 ni kiazi sana umewaponza wenzio kwa maneno yako hafu umekimbia hapa


Ila Mungu mkubwa nyie na ana miguvu kweli kweli thanks God Sijui tungewezaje kuishi hapa ndani kwa izi kelele


Wewe hamis77 ni muoga mshenzi na kima wewe ni mamluki.
 
Eeh mkuu ikawaje baada ya hapo


Kilichofata bwana hamis77 ni
 
 
Jana kuanzia wewe na timu yako na de zerbi wako wote mmekandwa aise.
 
My remaining fixture prediction
👇
Arsenal 4-1 Westham
Arsenal 4-0 Southampton
Arsenal 2-2 Man City
Arsenal 3-0 Chelsea
Arsenal 2- 1 Newcastle
Arsenal 2-1 Brighton
Arsenal 3- 0 N.Forest
Arsenal 4-0 Wolves
😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝
 
My remaining fixture prediction
👇
Arsenal 4-1 Westham
Arsenal 4-0 Southampton
Arsenal 2-2 Man City
Arsenal 3-0 Chelsea
Arsenal 2- 1 Newcastle
Arsenal 2-1 Brighton
Arsenal 3- 0 N.Forest
Arsenal 4-0 Wolves
😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝
 

Inasemekana hamis77 amefuta kabisaaaa App ya JF na kuchomoa battery kwenye kishikwambi chake, sasa hivi anatumia kiswaswadu kukwepa usumbufu.
 
Kama Team tumekuwa kimalengo,mwakani ndio ingekuwa kipindi chetu cha kugombea ubingwa,ila mwka huu tumejaribu kupigania ubingwa. kwa miaka saba ataja shiriki klabu bingwa leo kurudi ni mafanikio makubwa sana.walichotuzid man city sio ubora wa mbinu za kocha ila quality ya mchezaji mmoja mmoja na squad depth,ukweli kusema hata xhaka sio first team player,pale man city kuna kipindi hata ruben diaz alikuwa anakaa benchi maana yake anapumzika kikija kipindi ambacho season imekolea ndio wanarud wanakuwa na nguvu zaidi.arsenal hatuna nguvu ya kumweka mchezaji benchi aliyetoka kupiga hart trick kama mahrez.ni Kweli kwamba ARTETA anachangamoto zake kama vile kukariri wachezaji kwenye position fulan hata kama game inakataa(na hisi hii kaitoa kwa wenger) ila bado ni kocha zaidi kuifikisha arsenal kuchukua epl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…