Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Deluded. 😂
 
Kama S'ton anatamba hivi msitegemee kuchomoka kwenye mikono ya City hii ya Haaland striker akipasiwa na kiungo fundi KDB.

Kwa hali ilivyo Chelsea nao watataka wapate hata ka-point kwenye London Derby. Baada ya hapo battle ya top 4, Newcastle hawatakubali kupoteza kirahisi. Mkitoka hapo Brighton nao watalazimisha mambo hapohapo Emirates. 😂😂😂
 
Uzuri wa mashabiki wa Man utd hua hatunaga nongwa na Chelsea, hata anguko lenu hua linatusononesha mpaka sisi.
Sisi maadui zetu wa kudumu ni Arsenyani na Liverpunda.
Kwakweli kabisa, ila Cheshii mwaka huu lisiposhuka daraja la EPL basi kweli miujiza ipo duniani, nimekaa pale
 
"Naipenda Arsenal nawaangalia sana kutokana na aina yao ya uchezaji, pia wana kikosi cha vijana wengi hatari na tishio, fikira zao kwa sasa kama timu wanaonesha kuhitaji mataji makubwa nitafurahi wakinisajili"

Caicedo
Mirembe Hospital wanamruhusu vipi hamisi77 atoroke Mirembe nakati wanafahamu vizuri athari zake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…