Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haters wamejazana hapa lakini mimi bado ninaona arsenal akibeba ubingwa. Hiki ni kipindi cha mpito na kinaelekea mwisho.

Pia ni lazima Arteta akubali kufanya mabadiliko, Saka, Odegaard, Xhaka, Martinelli, Magalhaes, Partey, White na Saliba wametumika sana, awapumzishe.

Sasa ni wakati wa kuwaweka akina kiwior, nelson, esr, kt, tomiyasu, cedric, trossad, jorginho na vieira kuanza kwenye game zijazo.

Afundishe kupiga nje ya box na kuanzisha mfumo wa kuweza kupiga counterattack. Mfumo wa sasa kuingia mpaka ndani ya box umeshafeli.

Mashabiki wa arsenal mlioanza kutukana mnaonyesha ukosefu wa ukomavu na kutoufahamu mpira vizuri.

Good days are coming.🔥🔥🔥🔥
 
🤣🤣🤣🤣🤣 mambo ni mengi muda mchache
 
Good days are coming.[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Tena mkithubutu kuwaanzisha kina Kwiyo na Mwakinyos ndio mtashuka daraja kabisa.
Kileleni baridi ilikua kali sana, vijana wameamua kuota jua kidogo.
Screenshot_20221119_110602.jpg
 
Sio mbaya. We'll take +ve compliments. Tunabakiwa na focus kwenye EPL na Europa.
Nawakaribisha Man City Emirates. Pale ni sehemu nyengine kwa sasa. You don't want to Arsenal at their theatre.

Nataka niwaambie fans wenzangu wa Arsenal kwamba hakuna mtu ataondoka na point 3 pale Emirates msimu huu, trust me.

We go again gunners!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Haters wamejazana hapa lakini mimi bado ninaona arsenal akibeba ubingwa. Hiki ni kipindi cha mpito na kinaelekea mwisho.

Pia ni lazima Arteta akubali kufanya mabadiliko, Saka, Odegaard, Xhaka, Martinelli, Magalhaes, Partey, White na Saliba wametumika sana, awapumzishe.

Sasa ni wakati wa kuwaweka akina kiwior, nelson, esr, kt, tomiyasu, cedric, trossad, jorginho na vieira kuanza kwenye game zijazo.

Afundishe kupiga nje ya box na kuanzisha mfumo wa kuweza kupiga counterattack. Mfumo wa sasa kuingia mpaka ndani ya box umeshafeli.

Mashabiki wa arsenal mlioanza kutukana mnaonyesha ukosefu wa ukomavu na kutoufahamu mpira vizuri.

Good days are coming.[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Poleni sana asenyo[emoji16][emoji16] mlijua kuchukua ubingwa ni kama kunywa chai eee.

Sikilizeniiiii...... Hakuna ubingwa utakaochukuliwa na asenyani[emoji23]

Epl haiwez kuchukuliwa na watoto kama asenyo tulieni mtaona mengii[emoji23]
 
Yan kwa full mkoko huu wa Man city alf mmeashindwa hata kutengeneza nafasi za wazi, mje kwenye ligi tuna full mkoko na sisi, mnapoint zetu 4 au 6.. Sijaona man city ya kuisumbua Arsenal kwenye Ligi wote wakiwa full nondo
Mkuu kwema🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
"Leo tulikuwa kwenye pressure"
Na mechi tatu zilizopita mlikuwa kwenye nini?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Walikuwa kwenye density [emoji81][emoji81]
 
Haters wamejazana hapa lakini mimi bado ninaona arsenal akibeba ubingwa. Hiki ni kipindi cha mpito na kinaelekea mwisho.

Pia ni lazima Arteta akubali kufanya mabadiliko, Saka, Odegaard, Xhaka, Martinelli, Magalhaes, Partey, White na Saliba wametumika sana, awapumzishe.

Sasa ni wakati wa kuwaweka akina kiwior, nelson, esr, kt, tomiyasu, cedric, trossad, jorginho na vieira kuanza kwenye game zijazo.

Afundishe kupiga nje ya box na kuanzisha mfumo wa kuweza kupiga counterattack. Mfumo wa sasa kuingia mpaka ndani ya box umeshafeli.

Mashabiki wa arsenal mlioanza kutukana mnaonyesha ukosefu wa ukomavu na kutoufahamu mpira vizuri.

Good days are coming.[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ubingwa wa loosers sio [emoji81]
 
Man City timu imechoka inawazazee eneo muhimu la katikati la uwanja Debruyne na Gundogan hawawezi kutoa energy kwa dakika 90 Arsenal tunavijana wwnye nguvu wanaokupa workrate kubwa pressing kuanzia kwa Nketiah,Saka,Martinelli odegard ichi kitu uwezi ukakiona kwa Haaland akikifanya,Mahrez akikifanya Debruyne Gundogan kukifanya kwa dakika 90 tumeona mechi na Villa walivyokua wanadai chenji,Eneo letu la kujilinda Arsenal linashida sikuhizi kutokana na poor movement za Ramsadale na mawasiliano na beki zake ila City wana matatizo zaidi magoli mawili first league na second league dhidi ya Spurs walivyofanyiwa pressing wamechoma Ederson na Rodrigo wamechoma,Kinachotakiwa Arsenal nikuitaka mechi tuu City hawawezi kuzuia kasi yetu hata kidogo labda watapunguza muda wa kufungwa na idadi ya magoli hivi wale wapigiwe msako kama aliopigiwa ndugu zao Manure watatoka salama manure embu saidieni kujibu hilo swali mkikumbuka ule msako![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Rudia tena kusoma ulichoandika
 
City siku hizi kwa uwepo wa haaland imekuwa timu ya counter, yaani wana hatari zaidi kwenye transition moments, najua wazi leo tunaenda defend thru settled play kuwanyima chance ya kushinda, very difficult kwa City kucreate chances uki organize defence yako, ikiwa tutashindwa contol transition basi tutafungwa. Arteta masterclass
Arteta masterclass
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom