Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyonyo kumfunga City labda Pep aamue tu kumpa Arteta ushindi wa hisani kama vile alivyoamua kuwapa wachezaji wa hisani walau na nyinyi mpate nafasi ya kucheza Uefa msimu ujao baada kukosa kushiriki kwa takriban miaka 10.Yani wewe hujionagi km huna akili, obsession yako kwa Arsenal imevuka mipaka, toka msimu umeanza unandika ngojera zako lakini hujifunzi, City atafungwa leo kesho utaandika ngonjera tena, tushakuzoea km mwanamke vile.