Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
🤣🤣🤣🤣Martineli strike againKocha mpuuzi , Martinelli mpuuzi
Wenger and so as Arsenal. Hakuna kitu mnawezaMou fala alimuita Wenger specialist in failure na sio team.
Lakini Arsenyo wanamikimbio mizuri sana.Sisi wote ni die hard fans but kakojoe ulale hatuna team that's the fuckin truth why God aliamua kutuchagulia hii team why God?
Mmiliki au mabeki wajinga wajinga, yan mabeki wajinga ligi nzima basi ni wa arsenal arteta why hataki kujalibu beki mwingine upande wa Gabdiel, miaka yote na mechi muhimu huyu jamaa ni kichomiHuyu mmiliki asipoondoka Arsenal haitakaa ichukue kombe la EPL
Acha leo tuongezee kwa hilo tumethibitishaa🤣🤣🤣Wenger and so as Arsenal. Hakuna kitu mnaweza
2016 alikimbizana na Leicester City pumzi ikakata leo ndio anataka kukimbizana na timu za Manchester ataweza kweli [emoji3][emoji3][emoji3]Kipara anashukuru anakimbizana na hawa paka… hii nafasi aliyoipata Arsenal, ingekuwa Liverpool na kuyumba wa city asingemkuta Klopp hata kidgo.
Anguko la Arsenal wamelitaka wenyewe