Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kamtunza Partey,Arteta anaona kitu gani special kwa sambi lokonga???
Tunataka Epl na Europa
26 games in the last 4 months of the season is very manageable
Kamtunza Partey,Arteta anaona kitu gani special kwa sambi lokonga???


Wewe situmekubonda Juzi hapa ,uakimbia JF
Transfer requestFull focus on the next match(EPL vs Everton), huku tukiendelea kufatilia hili sakata kwa ukaribuView attachment 2497729
Tukimpata uyu, sambi lokonga wamgawe hata bureTransfer request

Kesho nitakuonesha video, kazinguliwa na Ode sababu ya poor positioningTukimpata uyu, sambi lokonga wamgawe hata bure
Mwisho wa msimu tutajua nani alikuwa anajifariji.Umepata pakujifariji
Mtoto mpuuzi yule alikua anagawa mipira tu, ukigeuka kidogo yupo juu kabisa karibu na 18 utadhani anacheza namba 10Kesho nitakuonesha video, kazinguliwa na Ode sababu ya poor positioning
Wewe Ni mpiga ramli tu, ulitamba Sana wiki iliyopita ,Hata Timu ya kukaa na mpira hunaMwisho wa msimu tutajua nani alikuwa anajifariji.
Yan kwa full mkoko huu wa Man city alf mmeashindwa hata kutengeneza nafasi za wazi, mje kwenye ligi tuna full mkoko na sisi, mnapoint zetu 4 au 6.. Sijaona man city ya kuisumbua Arsenal kwenye Ligi wote wakiwa full nondoWenzako kina ordegard, zinchenko,martinell wameingia Kwa mikwara Kama wewe ....tutawafanya kitu mbaya nyie ,Bora media ziwe zinakaa kimya tu ....
Mkitaka Battle tutawagonga nje ndani mpka hamtaamin ....
Hatoamini kwenye ligi atachokutana nachoPep ataelewa tu ,
Pep says Arsenal's man-to-man approach was a surprise but may help him/City when they played in league...
Sisi tunaimarisha kikosi, wewe endelea kujifariji na Arsenal kupoteza leo ,maana umepata ahueniMwisho wa msimu tutajua nani alikuwa anajifariji.
Naona Arteta aliamua kulinda key players
Kumtoa Partey na Saka hawa replacement zao hazipo
Kwa hiyo utampiga Kipara Home/away?? Akijitahidi draw?Hivi nyie mmeangalia mpira au mmechungulia Livescore?
Arsenal amefanya 6 changes ya first XI yake, huku City kaingiza full mziki na bado wametafutana
Ndio nilichokiona aisee, City kumbe wameisha HiviYan kwa full mkoko huu wa Man city alf mmeashindwa hata kutengeneza nafasi za wazi, mje kwenye ligi tuna full mkoko na sisi, mnapoint zetu 4 au 6.. Sijaona man city ya kuisumbua Arsenal kwenye Ligi wote wakiwa full nondo
Kama umeangalia mechi ya leo ,City Ni mweupe SanaKwa hiyo utampiga Kipara Home/away?? Akijitahidi draw?