Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Current news
Screenshot_20230215_194750_Instagram.jpg
 
Nimepitia page ya Arsenal ya Instagram keuelekea mchezo wao na Man City comments za mashabiki wa Arsenal zinachekesha sana. Mashabiki wanajamba jamba tu muda huu kumuogopa kipara 🤣🤣
IMG_20230215_195048.jpg
IMG_20230215_195021.jpg
IMG_20230215_194936.jpg
IMG_20230215_194851.jpg
 
Arsenal atamaliza ligi akiwa na point 92.. atapoteza mechi nne na kutoka sare mechi tano. Mpaka sasa ameshapoteza mbili na sare tatu. Amebakisha sare mbili na kupoteza mbili.

Sasa kama kuna timu itaweza kuzidi hizo point basi itapewa ubingwa. Timu zinazoweza kusababisha arsenal akafungwa au sare ni Man City ugenini, fulham na liverpool zote za ugenini na brighton nyumbani.

Mashabiki wa arsenal waendelee kutembea kifua mbele.
UNAOTA!!
 
Yani wewe hujionagi km huna akili, obsession yako kwa Arsenal imevuka mipaka, toka msimu umeanza unandika ngojera zako lakini hujifunzi, City atafungwa leo kesho utaandika ngonjera tena, tushakuzoea km mwanamke vile.
Kwa hiyo wewe unashabikia timu haijachukua hilo kombe miaka 21 na haijawahi kuchukua UCL ndio una akili?
 
City siku hizi kwa uwepo wa haaland imekuwa timu ya counter, yaani wana hatari zaidi kwenye transition moments, najua wazi leo tunaenda defend thru settled play kuwanyima chance ya kushinda, very difficult kwa City kucreate chances uki organize defence yako, ikiwa tutashindwa contol transition basi tutafungwa. Arteta masterclass
 
Na kwanini upange two DMs wakati unacheza dhidi ya low block teams i.e Everton & Brentford? Newcastle, Everton, Brentford walikuja na tactic inayofanana, 5 midfielders kublock penetration BTL, block central fluidity cuz Xhaka na Ø wanapata ugumu kureceive in BTL unless washuke chini, pia tactic inayotumiwa na wapinzani now ni kudouble mark our wide players Saka & Martinelli, timu chache za mid table zinazoweza Ku implement hizi mbinu kwenye ligi, mostly Brentford, Everton,Newcastle maybe Fulham wapo tactically & physically fit.

Game dhidi ta Brentford tuliona Arteta akiwa na solution ya hizi mambo, Saka & Martinelli wanaingia zaidi kwenye half space kutoka kwenye wide area ili kuachia space kwa FBs na kuruhusu overlapping movements za full backs wetu, na ingefaa sana kwenye aina hii ya mechi kuwa na traditional FB km Tierney / Livramento/ Frasneda.View attachment 2518451
4 2 3 1 inakupa chansi ya FBs kuoverlap. Inakupa chansi ya kudisarray hii man marking ya wings.

Inakupa chansi ya kufanya transitional movements at the same time unakua na ulinzi katikati.

Tumeshinda games zetu za round ya pili msimu uliopita na ya kwanza msimu huu kwa 4 2 3 1 tumeanza iadopt 4 3 3 na tunaonekana tunastruggle kuifanya iwe effective. White siyo mzuri wa krosi kiasi ukamtegemea kwenye attacking, Zinchenko hafanyi overlapping kama Kieran.

So nafikiri kila tunapocheza 4 3 3 actually tunabet zaidi kuliko kua na uhakika na tunachofanya
 
Back
Top Bottom