Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal haitakaa itokee iwe title contender never ever never ever
Mkuu mlikua vzr tu.. Sema nyie wnyw mkaanza ubairi ambapo mlitakiwa ongeza nguvu dirisha ili la January hapa... Ubingwa wa EPL ni mgum sana hauna janja janja lzm kikosi kiweze kuvumilia heka heka nyng.

Sema leo tumewapa funzo lingne kua sisi ndo Mabingwa.

Hapa ss ndo mnakua Tested vby sana kama kwl mnatk hata kunusa Huo ubingwa .
 
Kuna viumbe wachawi sn duniani hapa.
Screenshot_20230216-002427.jpg
Screenshot_20230216-002415.jpg
 
Msimamo wa ligi mpaka kufikia May
1: Manchester United
2: Manchester city
3: Newcastle United
4: Arsenal

👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆
Mashabiki wa arsenal wazee wa ndoto za mbio za vijiti katika kuwania ubingwa wa nyoko. Niliwambia huo ndio msimamo wa ligi mtake msitake.
 
Back
Top Bottom