Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,412
- 1,928
Huyu refa anaibeba Arsenal , Ametoa penati ya kijinga sana
Ni nuksi kuwafunga Mashetani Wekundu. Pigaaa Arsenyani!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpigie simu yupo nayo mkononi umuulize
Kama huna jibu ungeacha aliyeulizwa ajibu kama anajua. Usijishushe kiasi hicho.Mpigie simu yupo nayo mkononi umuulize
Hawa mbuzi tumewakamata aisee[emoji2]Arsenal NDOO
so far arsenal kacheza mpira mkubwa kuliko city
Tumejaa tele mkuu mwanzo mwisho[emoji4]Kumbe fans wa arsenal mpo mlivyotulizana kama hampo vile.
Kipa hakudhamiria kufata mpira,Penati sijaielewa elewa hii imepatikanaje
Penati sijaielewa elewa hii imepatikanaje
Penati sijaielewa elewa hii imepatikanaje