Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,559
- 6,557
Home and away 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwahiyo mnasema kwenye ligi bado hamjakutana na City? 😂
Home and away 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwahiyo mnasema kwenye ligi bado hamjakutana na City? 😂
Huko Kima zimelishwa ndizi moja.Kuna taarifa gani huku, mbona milio mingi
Points 6 muhimu. Nnachotaka mimi ni kuona Arsenal wakiteseka tu basi.Home and away 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo mtashinda EPL na Europa? Anhaa, sawa! 🤣🤣🤣Sio mbaya. I'll take +ve compliments. Tunabakiwa na focus kwenye EPL na Europa.
Nawakaribisha Man City Emirates. Pale ni sehemu nyengine kwa sasa. You don't want to Arsenal at their theatre.
Nataka niwaambie fans wenzangu wa Arsenal kwamba hakuna mtu ataondoka na point 3 pale Emirates msimu huu, trust me.
We go again gunners!
Hivi nyie mmeangalia mpira au mmechungulia Livescore?Ya leo ni trailer tu.. Tuko paleeeeee
Mkuu huyo anaitwa lukongaSub ya partey imetugharimu,
Timu haikabi na inapoteza mipira katkat
Huyu dogo mweusj hamna kitu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pep kaona bora apate chochote kitu msimu huuKwahiyo mtashinda EPL na Europa? Anhaa, sawa!
After all that mnamaliza msimu trophyless!!!
Wakija Anfield waache hesabu pia. 😂 Walitamba Emirates sasa ni zamu yao.Na hizo mechi mbili za ligi wanapasuka zote.
Hamna mchezaji humoMkuu huyo anaitwa lukonga
Liva akipona sana Anfield bakora tatuWakija Anfield waache hesabu pia.Walitamba Emirates sasa ni zamu yao.
Bench mkuu linamtafunaHamna mchezaji humo
Wenzako kina ordegard, zinchenko,martinell wameingia Kwa mikwara Kama wewe ....tutawafanya kitu mbaya nyie ,Bora media ziwe zinakaa kimya tu ....Sio mbaya. I'll take +ve compliments. Tunabakiwa na focus kwenye EPL na Europa.
Nawakaribisha Man City Emirates. Pale ni sehemu nyengine kwa sasa. You don't want to Arsenal at their theatre.
Nataka niwaambie fans wenzangu wa Arsenal kwamba hakuna mtu ataondoka na point 3 pale Emirates msimu huu, trust me.
We go again gunners!
Kwa arteta aliamua mtoke ,sema mmegongwa tu ....kama alitaka mtoke mlileta timu yenu uwanjani kufanya ninLeo tumetoka FA kama arteta alivyo amua
Lokonga ni muda sasa we kusema kwaherini
Fabio Vieira ni mwepesi sana, huyu anahitaji kupikwa kweli kweli





Umepata pakumua ,maana liva inakukondeshaNa hizo mechi mbili za ligi wanapasuka zote.
Umepata pakujifarijiHiki kitimu kitamaliza msimu bila kombe.![]()