Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji3]
IMG_20230216_011026.jpeg
 
Tokea ligi ianze hakuna siku nimefurahi kama leo, kuanzia kesho jukwaa litapoa sana hili.

Arsenyokondoo
Haaland kiatu.
Kwahiyo Mkuu unataka Kipara ajitwalie ubingwa na Mwa-City ili avunje rekodi ya Sir Alex Ferguson straight EPL winning trophies au unamaanisha nini?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Tuna maadui wengi ila naamini huu msimu ni wetu arsenal
Asiyekubali kushindwa sio mpinzani Leo tulikuwa kwenye pressure kubwa sana kitendo kilichosababisha Kutokee kwa individual errors nyingi sana...
Jorginho ni baller ila hatutamfaidi sabb arteta anamwamini shaka sana
#COYG
"Leo tulikuwa kwenye pressure"
Na mechi tatu zilizopita mlikuwa kwenye nini?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwahiyo Mkuu unataka Kipara ajitwalie ubingwa na Mwa-City ili avunje rekodi ya Sir Alex Ferguson straight EPL winning trophies au unamaanisha nini?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mara 1000 kipara atwae ubingwa kombe libaki hapahapa jijini Manchester, lakini sio hizi Kima za Arteta, kwanza zina midomo michafu mtaani tulikua hatuna amani, sasa hivi tutaanza kuishi kwa utulivu.
 
Wana arsenal wenzangu msihofu hii gemu ni ngumu lakini tutashinda bila tabu.

Wamekuja kudefend dkk ya60 tunawapigia sakoa Manure

Tunashinda gemu tulieni mjifunze kwetu.
🤣🤣🤣🤣🤣
KENGE hutawaona humu

So far arsenal amepiga mpira mkubwa sana

Cry mooooooooooooooooooore
🤣🤣🤣🤣🤣
City first half walikua wanapoteza muda, let's see second half

Leo Pep anategemea magoli ya set pices, labda atachange tactics 2nd half, who knows?[emoji1787]

Hili robot la kinorway limeamua kucheza ngumi sasa
🤣🤣🤣🤣🤣
Hii gemu itaisha 1-3

Arsenal Arsenal ni team ambayo imelogwa na mganga ameshafariki since 2005 why tulishow love kwa team hii ohhh why God why?

Kocha mwenyewe ana mpira wa aina moja tu unategemea nini,ni mjinga tu huyu
🤣🤣🤣🤣
Nyie mbwa leo mko pungufu au mmetimia??🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Jorginho ana kimando

REKODI NYINGINE IMEWEKWA LEO ARSE8 HAJAPIGA SHUTI LOLOTE GOLINI UKIACHIA LILE LA PENALT YA KUPEWA
🙂🤨😯
Never ever haitakaa itokeee members humu tunadanganyana Arsenal ni team ya kisenge no vision at all last season tukalia and now today tunalia

Ubingwa wa nyoko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Beki ya Gabriel, Saliba itupe title? Haiwezekani. Stingy Club have never won the title

Naona Tunaurudia Urithi wetu wa asili[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 2518791


Eti Arsenal ichukue ubingwa, nyie mashabiki wa Arsenal mtakaa hivyo hivyo mpaka mtazeeka hakuna kitu kinaitwa ubingwa mtashihudia, save this utakuja kunishukuru baadae.

🤣🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2518800


Kumbe walaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2518804


GAY team sisi ni blood fans wa Arsenal but today nasema Arsenal ni GAY team [emoji106] Goodnight Guys

[emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 2518808

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app

Tuna maadui wengi ila naamini huu msimu ni wetu arsenal
Asiyekubali kushindwa sio mpinzani Leo tulikuwa kwenye pressure kubwa sana kitendo kilichosababisha Kutokee kwa individual errors nyingi sana...
Jorginho ni baller ila hatutamfaidi sabb arteta anamwamini shaka sana
#COYG


Arsenal mna kiburi, mdomo, jeuri, fedhuri, matusi na shobo.....nyie ni wenzetu wa kawaida saaaanaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom