Mashabiki wa asenyani wanajisifia kupiga mpira mkubwa halafu point wanazisikilizia kwenye bomba.Niwaite hao kenge?![]()








Beki ya Gabriel, Saliba itupe title? Haiwezekani. Stingy Club have never won the title







Kocha mwenyewe ana mpira wa aina moja tu unategemea nini,ni mjinga tu huyu