Endelea kuotaJorginho, viatu vya Partey vinam-fit kiasi fulani
Wehu kama SIMBA NA YANGAArsenal mnadanganyika sana na mpira wa possession shindeni Sasa kama possession ni ushindi mtaanza kusema hapa tumewapigia mpira mkubwa kweli kweli.![]()
Arsenal mnadanganyika sana na mpira wa possession shindeni Sasa kama possession ni ushindi mtaanza kusema hapa tumewapigia mpira mkubwa kweli kweli.![]()
Mikimbio yake mimi nimeipendaJorginho ana kimando
Kivipi mkuu mbona bado mna game mkononi, game ya City Etihad mnaweza kuwafungaArsenal haitakaa itokee iwe title contender never ever never ever
REKODI NYINGINE IMEWEKWA LEO ARSE8 HAJAPIGA SHUTI LOLOTE GOLINI UKIACHIA LILE LA PENALT YA KUPEWAArsenal mnadanganyika sana na mpira wa possession shindeni Sasa kama possession ni ushindi mtaanza kusema hapa tumewapigia mpira mkubwa kweli kweli.![]()
Bado mapema kupanick na tuna game Moja Mkononi...Kivipi mkuu mbona bado mna game mkononi, game ya City Etihad mnaweza kuwafunga
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Arsenal leo wamepossess sanaArsenal mnadanganyika sana na mpira wa possession shindeni Sasa kama possession ni ushindi mtaanza kusema hapa tumewapigia mpira mkubwa kweli kweli.![]()
Tunangoja nafasi ya 3 maana ya pili ya Man utd au Man city then tunaenda kuloose Tena kule kwao..Mikimbio yake mimi nimeipenda
Huwa mkifungwa ndio mnaanza kutukana?Kocha mwenyewe ana mpira wa aina moja tu unategemea nini,ni mjinga tu huyu


Kawatoa mbali huyu