Xhaka leo anacheza utumbo sana
Kuweni makini na comments zenu juzi nmelimwa banArsenal ni MBWA
Nyie mnambwembwe sanaLeo Pep anategemea magoli ya set pices, labda atachange tactics 2nd half, who knows?[emoji1787]
Mnaongea mnoPep kajaza viungo lakini timu yake haichezi hadi nikawa nahisi city katutegea mtego kwa jinsi tunavyowashambulia ila kwa jinsi wanavyopoteza muda nikaona kweli kwa kipindi cha kwanza wamefeli maana wana defend sana Bernado anatembea na saka na kashakula yellow kazi itakuepo second half
Endelea kukumbukaBeki, yetu hii inanikumbusha beki ya msimu uliopita
Kuna mod ni fan wa Arsenal ndio alikuadhibuKuweni makini na comments zenu juzi nmelimwa ban
Mod mmoja atakua shabiki wa aseno sio bure[emoji1787][emoji1787]View attachment 2518772