Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Inabidi wachezaji wajitoe zaidi ya hapo maana Guardiaola ni mtu mjanja sana halafu ana benchi kubwa nje hua anatufunga kirahisi sana yani tukiswitch off kidogo tu itakula kwetu
Pep kajaza viungo lakini timu yake haichezi hadi nikawa nahisi city katutegea mtego kwa jinsi tunavyowashambulia ila kwa jinsi wanavyopoteza muda nikaona kweli kwa kipindi cha kwanza wamefeli maana wana defend sana Bernado anatembea na saka na kashakula yellow kazi itakuepo second half
 
Back
Top Bottom