Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kipa angegusa ule mpira isingekuwa penat so kosa ni mpira umechewa na mchezaji na kipa ameenda kumvaa mchezaji so amecheza foul nashangaa why hapajewa kadi(na ingekuwa red maana tayal ana yellow)
Wakati tukio linafanyika ilikuwa haraka sana na replay haikuoneshwa

Ila nimeona vizuri tukio baada ya replay
 
Kipa angegusa ule mpira isingekuwa penat so kosa ni mpira umechewa na mchezaji na kipa ameenda kumvaa mchezaji so amecheza foul nashangaa why hapajewa kadi(na ingekuwa red maana tayal ana yellow)
-Hata kama amemvaa mshambuliaji alishapiga mpira (uvaaji wake haukuwa na madhara kwani mpira ulishatoka)
-Hawezi kupewa kadi sheria ya sasa adhabu ni moja (ulitaka apewe iwe yellow ya pili atolewe nje!! Mmezoea kubebwa leo ni fimbo tu)
 
We are doing fine

City hajatengeneza chances za kutisha kiasi hicho.

Arsenal tumeonyesha spirit kubwa hata baada ya boko la Tomiyasu.

Hata hivyo tunahitaji mno individual brilliance kwakua hatuna lethal finisher
Yes Nketia sio wa kutegemea kukupa goli moja kwenye nafasi mbili, anaitaji nafasi 8 kukupa goli moja,,
Nafasi tunazotengeneza ni vizuri tuzitumie kwa ufasaha, Man city wanafungika kirahis sana tena sana,
 
Back
Top Bottom