Pamoja wazee, together we stand.
Dah, ingekuwa balaa kupoteza game ya leo...
Nikiangalia goalscore ya 'Madingi' leo, sijui kwanini tu wametoa sadaka £50m kwa mchezaji mmoja.
Anyway, ...nite nite z z z z zzzzzzzz!
Lee Mason bahati yake sana maana naona ingebidi ahitajiulinnzi toka kwa Riot squad kuondoka Emirati, mimi sikuangalia kipindi cha kwanza ila feedback nilizozipata goli la Everton Saha alikuwa kama maili moja nzima offside.Huyu referee mwenye bichwa ka SKONZI MBILI ZILIZOUNGANA ni mpuuzi sana kwenye MAAMUZI.............Kaharibu sana game hii........Thnx sana kwa BOYS kwa kuongeza point 3.........
jamani inamana niko peke yangu humundani shabiki wa Arsenal?
siasa kila wakati inaboa jama
Hauko peke yako tuko weengii,ajabu hii posti nimeiona leo labda coz nilijiunga juzijuzi anyway our Arsenal is nowadays improving. Mwaka huu makombe matatu ni lazima yatue pale Emirates stadium.
Hebu just think the way our players are doing these days,mpira wa touch na kuonana ni jadi ya Arsenal lakini ongeza ufundi wa Samir Nasri,uhodari wa Alex Song,El-Captano Fabregas,Johan na weengi wengine.
refa hakua fea kabisa pale...fellaini kacheza faul na kapeta...wakulaumiwa pale ni lainsman zaidi koz event imetokea infront of him.......
Jamani hamjambo humu?,
Safi sana! Muache kusajili watoto
Ka-Diaby kamekuja na kilivyokuwa laini sijui atafanya nini.
SONG nae Nje.......MKURUGENZI wa VIMEO Li...Diaby ndani...Game OVER........Sina tena matumaini...imebakia personal uwezo uje utuokoe kwenye hii game...AW atajua maana ya KUSAJILI.................
Sema waungwana. Kijiwe kimechina?
Mmmh! napita tu the shetani not gunners🙂))ha ha
AW, Kweli, Qestt, Mbu....wazima.
Hawa EVERTON hawajawahi kufungwa baada ya HT kuwa mbele this season....Furthermore waliwapiga Man City kama wamesimama...AW asipokua makini kubadili technique za uchezaji hata dro mbao itakua haitoshi....koz Man U tayari wameshashinda 2-0.....Tutawakamata lini na bado wana game in hand???????????
Haya tusubirie iwe hivyo!..mana mmenywea kweli kweli!!
Kwi kwi kwi kwi kwi viwete wanatangaza vita!
Everton boss David Moyes: "The comments which Cesc Fabregas made to the fourth official and referee at half time deserved a sending off. He's a big player for them. I think it changed the flow of the game. I'm not going to repeat what he said, I'll let them tell you what he said. Anyway, it's a results business we are in and we need to get some results... but I don't think anyone would go away from this game thinking Everton didn't deserve to get a result."
" Mbona Moyes anapaswa kumshukuru referee kwenye hii game.....??? "
Lee Mason bahati yake sana maana naona ingebidi ahitajiulinnzi toka kwa Riot squad kuondoka Emirati, mimi sikuangalia kipindi cha kwanza ila feedback nilizozipata goli la Everton Saha alikuwa kama maili moja nzima offside.
Haya ndio matatizo ya fat Arse fans, mpira hujauona lakini unalaumu refa kwa habari za kusikia. Thibitisha kwanza ndio uanze kulialia....lol. BTW hongereni kwa ushindi.
Arsenal have two more injury worries to contend with after Alex Song and Theo Walcott picked up knocks against Everton on Tuesday night.
Defensive midfielder Song is struggling with a leg problem having been inadvertently kicked by team-mate Laurent Koscielny during the Gunners' 2-1 win at Emirates Stadium and replaced by Abou Diaby.![]()
Young winger Walcott,meanwhile, completed the full 90 minutes but was left nursing an ankle problem after the final whistle.![]()
Manager Arsene Wengertold the club's official website: "Song cannot walk. I don't know what he has got.![]()
"He was kicked, I think it was by Koscielny, he knocks out everybody in our team!
"So we have to see how he responds to that in the next days, but he cannot walk at the moment."
The duo's injuries strike another blow for Arsenalafter key midfielder Samir Nasri
picked up a hamstring problem in Sunday's FA Cup win over Huddersfield.![]()
Wenger has confirmed the French star will be out for three weeks after undergoing a scan on the injury, meaning he will miss the Gunners' crucial UEFA Champions Leaguetie against Barcelona
at the Emirates on February 16th.![]()
He added: "For Nasri, the scan shows a hamstring strain. (He will be out for) 21 days
i hope hawa wawili watapona haraka.
Kwi kwi kwi kwi....treatment room itajaa sasa!
Easy mazee, kwani lazima kila kitu uone? Sasa kuna faida gani ya kuwa na media outlets? By the way nimeangalia replay na nimethibitisha zile feedbacks zilikuwa sahihi. Hakuna anaelia kwa vile mechi tumeshinda mkuu. Anyway wishing you good luck on Sunday.Haya ndio matatizo ya fat Arse fans, mpira hujauona lakini unalaumu refa kwa habari za kusikia. Thibitisha kwanza ndio uanze kulialia....lol. BTW hongereni kwa ushindi.