Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

inaonekana tumeishiwa na idea, kati Diaby (mzee wa kupoteza possesion) hana creativity ya aina yoyote ile, hakuna defensive mido matokeo yake Djourou na Kos wako expossed na mmoja wapo anaweza kwenda nje kwa frustration
 
" wanga hao ,safari imewadia" " wanga hao,safari imewadia" " wanga hao,safari imewadia"

sasa la tatu kutoka kwa van persie kumaliza mchezo.
 
VIVA ARSENAL........Habari zenu binafsi Arsene,Quest,Kweli,Murefu,Mbu na wageni waalikwa na wasioalikwa??Tuko pamoja........:first:
 
BJ na Manda mpo?
au ndio mnashangilia goli lenu la tatu dhidi ya A.Villa?
 
Kossssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss
 
BJ na Manda mpo?
au ndio mnashangilia goli lenu la tatu dhidi ya A.Villa?
There are currently 17 users browsing this thread. (12 members and 5 guests)
Kweli VUVUZELA Questt Michelle Arsene Wenger Eqlypz Rev Masanilo Fabolous Baba Mkubwa MUREFU MkimbizwaMbio
naona hawa ghafla wamejumuika na kuwa katika 5 guests
 
ghafla kila mtu ameanza kuja heheh..mlivyokuwa nyuma walikuwepo wachangiaji watatu tuu...
 
There are currently 17 users browsing this thread. (12 members and 5 guests)
Kweli VUVUZELA Questt Michelle Arsene Wenger Eqlypz Rev Masanilo Fabolous Baba Mkubwa MUREFU MkimbizwaMbio
naona hawa ghafla wamejumuika na kuwa katika 5 guests

...he he!
images
"mshangao huambukiza!"
 
Back
Top Bottom