Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,631
- 3,543
jamani inamana niko peke yangu humundani shabiki wa Arsenal?
siasa kila wakati inaboa jama
Hauko peke yako tuko weengii,ajabu hii posti nimeiona leo labda coz nilijiunga juzijuzi anyway our Arsenal is nowadays improving. Mwaka huu makombe matatu ni lazima yatue pale Emirates stadium.
Hebu just think the way our players are doing these days,mpira wa touch na kuonana ni jadi ya Arsenal lakini ongeza ufundi wa Samir Nasri,uhodari wa Alex Song,El-Captano Fabregas,Johan na weengi wengine.
Samir Nasri kaumia kaka,bado tunamuombea iwe salama.....tunamuhitaji sana....inshaAllah tutakwaa makombe,kazi ipo kubwa sana mkuu...