Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Mda ulikuwepo na wachezaji wapo sema mzee anapenda ku-gamble sana na mara nyingi ina tu-cost.No one is available. Wenger sidhani kama atanunua mchezaji kwa masaa yaliyobaki, umeona Chelsick wanajaribu kumnunua mchezaki kutoka loser fools? A second loser from them.
Mechi nyingi sana zimebaki bila kuwa na depth kwenye kikosi inakuwa ngumu sana ku-challenge vikombe vyote.