...ajue mara ngapi?
Kila mwaka nampa benefit of a doubt.
Anyway,...acha tuendelee kushabikia kwa matumaini.
AW, Kweli, Qestt, Mbu....wazima.
Sema waungwana. Kijiwe kimechina?
Mmmh! napita tu the shetani not gunners🙂))ha ha
AW, Kweli, Qestt, Mbu....wazima.
Tutarudi wkauu msiwe na wasi wasi na kuongeza pia.
Tutarudi wkauu msiwe na wasi wasi na kuongeza pia.
Van persie inabidi hawe muangalifu sana anaweza kupewa kadi nyekundu hii mechi.
Haya tusubirie iwe hivyo!..mana mmenywea kweli kweli!!
arshaaaaaaaaavinnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn
ha ha ha goli lipo hapa naliona linakuja sasa hivi.
....pheeeeeeeeeeeeeeeeeeewww!
sasa ni kutafuta la pili.