Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Great game so far, thx 2 BAK n AW 4 updates, nyways any1 knows which streaming 's workin? Kila ninapopita naambiwa homeland security wameteka nyara

jaribu atdhe.net mkuu hawa jamaa huwa wananitoa sana kama game haipo kwenye tv.
 
Goaaaaaaaaaaaaaaaallllllll Michelle kafunga kwa cross nzuri kutoka kwa AW iliyotoka kwa Questt.....l.o.l......mambo ni mazuri......I salute you my people AW,BAK,Quest,Kweli and many others......VIVA ARSENAL:clap2::clap2:
 
ha ha ha tuko pamoja.
 
Mkuu ilikuwaje hii kadi? Naona straight red? Anyway spuds wamerudishiwa 1 - 1. Bolton wajikaze dakika zilizobaki w/end naona inaenda vema
kamminya Barton nyuma ya shingo na kumsukuma.Dogo si unajua anajifanyaga mtemi lol.
 
kamminya Barton nyuma ya shingo na kumsukuma.Dogo si unajua anajifanyaga mtemi lol.
Vassiriki anatutibua sana! Anajua umuhimu wa nidhamu wakati tayari tumem_miss Nasri na Song yeye ndio kwanza anabeba kadi za kizembe?
 
Inakua ngumu kidogo kukeep clean sheet......anyway tutashinda tu at last............
 
Sasa Wenger abadili tactics ili kulinda ushindi, inaudhi sana, kwa nini hatuwezi kudifendi propa?
 
Back
Top Bottom