Arsenal (The Gunners) | Special Thread

angalau mmepata mshambuliaji..za leo majirani??

cc. Piere.Fm:wacko:

Mkuu agosti 8 Huku ni salaama mambo yanaenda vizuri.
Do you remember Sturidge saga!? Kama unakumbuka ni vema na ndio maana ninaposema jiwe walililolikataa waashi litakuwa jiwe la msingi nina maanisha.
 
Last edited by a moderator:

Nani mwenye jazba arifu? Unaweza kufahamu mtu mwenye jazba na usiyemwona kupitia maneno?

Uh, sasa unanifundisha ukomavu wa soka!!😴😴😴

Welbeck ndiyo huyo sasa; tuone kama mtaendelea kumpondea 🙈🙈🙈
 
Halafu inasemwa kwamba Falcao huenda amefeli jaribio la kwanza la uchunguzi wa afya yake (Medical)kule Man Utd, ila haiwekwi wazi.

Usisahau Welbeck ni mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uingereza.

1. Duh, watu kweli mna chuki na United. Poleni, Falcao ndiyo huyo kapewa jezi No. 9..

2. Mpeni nanyi Welbz No. 9 🙈🙈🙈
 

Pole kaka, kwani wewe ulitaka amsajili nani?, kwa dau gani?....alipwe mshahara kiasi gani?
kwa mkataba wa miaka mingapi?
:coffee:......maana sio PS3 game hii, formation ikikataa una delete mchezaji!

William carvalho,ronvlaar,derous hasara za kukosa kusajili ni kubwa sana
 
1. Duh, watu kweli mna chuki na United. Poleni, Falcao ndiyo huyo kapewa jezi No. 9..

2. Mpeni nanyi Welbz No. 9 


..........hapana, 23 ndio imemfaa! :coffee:
Mna jingine? hebu mwacheni sasa.

'....hamtajua thamani ya kitu mpaka mkipoteze!.....'
 

..........hapana, 23 ndio imemfaa! :coffee:
Mna jingine? hebu mwacheni sasa.

'....hamtajua thamani ya kitu mpaka mkipoteze!.....'

waka huu lazima tuwapige 9-0 si mnakumbuka 8-2 nyiee!!!! mwaka jana tulikuwa tia maji tia maji tuliwachapa 1-0 mwaka huu lazima tuwape 9-0...............huku FALCAO kule DI MARIA hapa ROONEY weweeee RVP huwa anawaonea huruma siku hio tunamtupa benchi!!!!!
 
Reactions: Nzi

Falcao spanner mkononi ...
 







Egg on your face, THE DELUDED ONE. Hahahahahahahaaaaaa!!!!
 
Mwishoe Wellbeck ndani!! teh teh teh..
 
yaani wewe ata unga wa ubuyu sikuletei

mwaya usijal leo nimekuletyea tena za ufuta zanye maziwa ni tamujeeee??
ongeren kwa kapoint

:clock:.......'kwishaaaa!,'..... hehhe, umen'letea kashata? :coffee:
 
Reactions: Mbu
Mkuu agosti 8 Huku ni salaama mambo yanaenda vizuri.
Do you remember Sturidge saga!? Kama unakumbuka ni vema na ndio maana ninaposema jiwe walililolikataa waashi litakuwa jiwe la msingi nina maanisha.

Sturidge na Wellbeck uchezaji wao ni tofauti kabisa,Sturidge ni mfungaji mzuri tatizo hakupewa nafasi ya kucheza alipokuwa Man City na Chelsea na akawa hajiamini so Rodgers alimpa nafasi na akapata confidence Liverpool walikuwa na Suarez tu kama striker.Wellbeck ni the best defensive striker workrate yake ni kubwa na anasaidia sana kukaba but sio mzuri sana kwenye umaliziaji.Arsenal wanacreate nafasi nyingi sana walikuwa wanahitaji striker ambaye ni mzuri kwenye umaliziaji kuliko Giroud na Sanogo but kwa umaliziaji still Giroud ni mzuri kuliko Wellbeck
 
Last edited by a moderator:
Falcao spanner mkononi ...

Hata RvP alikuja akiwa spanner mkononi toka goons..ila kufika tu akatupa taji na mauzo ya jezi yake (ambayo hata msimu wa mwaka jana ndiyo iliyoongoza kwa mauzo). Unataka nini zaidi hapo?

Falcao atatupa mauzo ya jezi yake; na atatumika vizuri tu na kuleta mataji nyumbani kwa mataji :violin::violin:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…