Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,255
- 10,503
Ha ha ha naona unazijua vema siri za kambi kuna mtu alishakimbia na deni lako nini? lol....
teheeee!!!! wazee wa kukimbia madeni mbona wanajulikana. ukiwakopesha tu umeumia.
Ha ha ha naona unazijua vema siri za kambi kuna mtu alishakimbia na deni lako nini? lol....
Akanana
Are you invited?
Are you invited.
Miye sio ninayetoa mialiko mpendwa....
Hao kuku nilikuuliza kwetu Msumbiji nitawapataje?
ha ha ha umenifurahisha....
teheeee!!!! wazee wa kukimbia madeni mbona wanajulikana. ukiwakopesha tu umeumia.
hahahaa....nimekufurahishaje sasa?
sa unatofauti gani na mzamiaji wa shughuli za watu? lol....
Who invites others, basing on what grounds?Are you invited....?
Na wengineo.......
huelewi nn shemeji hata hizo picha za wadudu nazo huoni???
Inamaana unakaribishwa ukale hao wadudu??
Sa kama sijaalikwa ntafantaje....najua si wote wataenda kwa hiyo tutajikompaseti humohumo
subiri mwaliko bana usikute hata kuna mavazi special yameandaliwa, ukabaki kuoneka umevamia lol....
ha ha ha we haya ntacheka nikiiona picha yako unachungulia chungulia tu watu wanakula vyaoHayo mambo ya aliye juu mngoje chini yamenikost sana...saiv sitaki
Hahaha naona mambo ya questions tag siyo....Invitedn't you??
Thanx Mtambuzi