matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,960
Whateveeeeeeerrrrrrrr! Maisha ni yako chaguo ni lako!
Aya mamaaa wa kuji-zoom...nothing personal ata ivyo.
Whateveeeeeeerrrrrrrr! Maisha ni yako chaguo ni lako!
Hahaaaaaaa! Offence intended none! Taken none! ITS A FREE COUNTRY SINCE 9th December 1961! (Republic of Tanzania National Constitution, 1966) Japo hii citation ya kimagumashi! Cc wana historia!Aya mamaaa wa kuji-zoom...nothing personal ata ivyo.
Umeogea maji ya mferejini nini
jf kubwa hii bab..u neva kno !
tatizo umetoa hukumu ungeuliza kwanza.Huyu Mtambuzi atakuwa ni mmoja wa Moderator, wengine wakiweka uzi kama huu utapelekwa chit-chat haraka sana, ila huyu jamaa thread zake huwa zinaishia MMU tu! halafu pia ni mbinafsi sana. Anawa-tag watu wake halafu anasema na.,"..na wengineo" kwani hao aliowa-tag hawapo kwenye hao wengineo?
Are you invited?
Ppo zitaleta tena story za watu wenye macho mekundu!Duh!
Kaazi kweli kweli.
Parrrry kufanyika bado lakini ndo hivi.....ikifanyika je?!?!?!
Ppo zitaleta tena story za watu wenye macho mekundu!
Wana Jf hawaishi majanga..!
we mkaka wa kanyigo nlipie basi hiyo party.
Duh!
Kaazi kweli kweli.
Parrrry kufanyika bado lakini ndo hivi.....ikifanyika je?!?!?!
Kijana acha mchezo na my akanana Paloma nita kusue!
Samahani lakini!
Unanitafutia vita na Matola...anyway just can't afford to miss the named offer from U.Jamani mbuga ni kubwana sanaaa! Najua wewe msomi hapa tukitumia policy ya Adam smith ya mwenye nguvu ndo ampate man of the hour, tutachinaaaa na kumalizana wenyewe kwa wenyewe!, Tutumie tu policy ya John Nash! Nash equilibrium itumike, ambapo tunawinda pamoja kila mtu anapata size yake! Adam Smith is a dead man, so are his policies!
Sasa basi natangaza nia mapemaaa kwa grafani11, just talking and campany! Matola atakuwa nje ya nchi so sidhani kama atakuja! kama hajaalikwa babu mtambuzi nitaku pertition vibaya mnooo! Fanya tu umualike! Si unajua mi sio mtu wa kubanana pale pale!:A S wink:
Duh!
Kaazi kweli kweli.
Parrrry kufanyika bado lakini ndo hivi.....ikifanyika je?!?!?!
Nime be invited Mamaafacebook, tabibumtaratibu are you invited?
​babe Paloma mekumisiiiii!!