Are you invited?

Are you invited?

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,441
Dar_es_Salaam_x_i104222.jpg

Dar_es_Salaam_x_i104223.jpg

page_dining_mainBanner.jpg

Maeneo ya namna hii ili kujivinjari inahitaji mfuko utune kidogo, lakini kama mtu ukijipanga ndani ya miezi miwili kwa ule mtindo wa umoja ni nguvu, watu wanajimuvuzisha mjengoni kiulaini bila chenga.

Waheshimiwa hili ndilo eneo la tukio

Are you invited....?

CC:
lara 1, sister, Paloma, Vivianna, Heaven on Earth, Elizabeth Dominic, tinna cute, miss strong, cacico, ladyfurahia, KakaKiiza, Kaizer, amu, mwekundu, Tyta, Kipaji Halisi, Jiwe Linaloishi, miss neddy, badiebey, Mentor, Asprin, miss chagga, angelita, NANDERA, charminglady

Na wengineo.......
 
Waoh..... a nice wonderful and dream place for sure
 
panatamanishaje natangaza tenda ya kutunisha mfuko wangu teamB hamuhusiki
 
wawooooooo!!!!!!!!!!!! niandae kigauni na huu ubonge nyanya sipati picha
 
Dar_es_Salaam_x_i104222.jpg

Dar_es_Salaam_x_i104223.jpg

page_dining_mainBanner.jpg

Maeneo ya namna hii ili kujivinjari inahitaji mfuko utune kidogo, lakini kama mtu ukijipanga ndani ya miezi miwili kwa ule mtindo wa umoja ni nguvu, watu wanajimuvuzisha mjengoni kiulaini bila chenga.

Waheshimiwa hili ndilo eneo la tukio

Are you invited....?

CC:
lara 1, sister, Paloma, Vivianna, Heaven on Earth, Elizabeth Dominic, tinna cute, miss strong, cacico, ladyfurahia, KakaKiiza, Kaizer, amu, mwekundu, Tyta, Kipaji Halisi, Jiwe Linaloishi, miss neddy, badiebey, Mentor, Asprin, miss chagga, angelita, NANDERA, charminglady

Na wengineo.......

duh yaani pamoja na kukumbushia kwa nguvu zote sijawa-mentioned!!!!! kweli JF ina wenyewe.........
 
Hili linaitwa gubu sasa, wewe lipa mpunga huo, kuwa mentioned siyo issue cha msingi are u invited?
 
acha kuvamia vamia comment za watu...gubu unalo wewe...FYI huyo alieleta hii post anajua nina maanisha nini!!! this is CHIT-CHAT thread
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom