lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,209
Mmmmmmmh! Okay! Maybe!Wakati nikiwa kwenye tourist industry wageni wetu wengi ni matajili wa kimarekani Warussia na Waspain wakiwa porini wanaagiza kwa $3000 ndege iwapelekee hao Lobuster tu na wanatakiwa wafike wakiwa hai na hata ukienda Fish market Lobuster bei yake iko juu sana.