Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,520
Si tutaenda wote my dia???
Unaulizia nywele saluni?
Are you invited?
Si tutaenda wote my dia???
Ahahaaaaaa! Sasa kuchangamsha genge huko watu wengine wana perceive kama sisi tuna ubaguzi au vipi! Na wengine wana ID kibao kazi yao kuponda tu hizi events miaka na miaka japo hata waponde vipi lazima zifanyike na zifanikiwe iwe isiwe! Sasa wewe ulivokuwa unachangamsha genge sio rahisi kutofautisha kama ni mchangamsha genge au hater! Ndo maana mi nikatoa jibu elekezi kuwa WHAT EVER THE CASE ITS A FREE COUNTRY, SIO LAZIMA MTU FALNI AWEPO, NA WALA SIO LAZIA MTU FLANI ASIWEPO, ANAVOJISIKIA TU MTU, HAMNA ATAEPUNGUZA CHOCHOTE AU KUONGEZA! Its a free country once again!
Hahaaaaaaaa! That will be a bit extreme! 50k kwa bazazi is what i consider unfair transaction and prepostrous! Mi nashauri declare interest tu ya SECRET ADMIERER kama Badibeybey! Hahahaaaaaaa!
Hahaaaaa! We si juzi hapa ulikuwa unaposwa na KAKA KIZA? Maisha haya kaka kiza anaimbisha kazier anapewa mzigo! Naona K na Z unapatana nazo sanaaa!
Hahaaaaaaaaa! Bwana Shamba na wewe! Hatwendi hivo banaaaa! Unaweza ku mpm yeyote wewe unaeona mnaendana interest ukamwambia im treating you this one, just for company na TALKS, hahaaaaaa! Hachomoi mtu! Vya bure vitamujeeeeee! Hahaaaaa!nahisi raha ya mtoko huu uwe na chombo pembeni sasa na mie mgeni humu pm yangu ina msg moja tu ya kuuliziwa biashara ya shamba itakuaje sasa kuna mdada yeyote alie pending humu?? atapata ofa ya wine glass mbili na kulipiwa kiingilio plz kwa alie tayari niombee mualiko
Sorry if i was UNECESSARILY RUDE to you, i appologise! My bad! Si unajua tenaaaa! Ukingatwa na nyoka hata tujani tukikugusa unastukaaaa!Got u madam
Hahaaaaaa! I was just curious bro! Anakataa sports car for a beer? (Kaizer beer!) Something is fishy some where! Im just sayin!Hahahaaa uwaache mabazazi wapumuweee....
Hahaaaaaaaaa! Bwana Shamba na wewe! Hatwendi hivo banaaaa! Unaweza ku mpm yeyote wewe unaeona mnaendana interest ukamwambia im treating you this one, just for company na TALKS, hahaaaaaa! Hachomoi mtu! Vya bure vitamujeeeeee! Hahaaaaa!
Sorry if i was UNECESSARILY RUDE to you, i appologise! My bad! Si unajua tenaaaa! Ukingatwa na nyoka hata tujani tukikugusa unastukaaaa!
Are you invited?
Me too mjukuu. Tafazali uje without.
nahisi raha ya mtoko huu uwe na chombo pembeni sasa na mie mgeni humu pm yangu ina msg moja tu ya kuuliziwa biashara ya shamba itakuaje sasa kuna mdada yeyote alie pending humu?? atapata ofa ya wine glass mbili na kulipiwa kiingilio plz kwa alie tayari niombee mualiko
tasavali asiwe bebi angu Kaizer..lol
Hahaaaa umejuaje???? Yan huyo ndo yuko mawazoni mwangu. Ndo tabu ya kuolewa na bazazi...anakuwa mume wa wote
Hahaaaaa! We si juzi hapa ulikuwa unaposwa na KAKA KIZA? Maisha haya kaka kiza anaimbisha kazier anapewa mzigo! Naona K na Z unapatana nazo sanaaa!
cc KakaKiiza kwa taarifa na mwendelezo wa ndoto hewa.
orait hizi taarifa zote zimenifikia
Hahahahaaaa! Huyo ASKutasame ni FATHER OF THE NATION, DUME LA MBEGU HILO, Usichukue pointer kwake! Hahaaaaaa! Doc i see youuuuuuuuuuu!dih yaan mpaka natetemeka jinsi ya kumuanza mtu unajua kuna watu wakiwa nyuma ya kiibodi ni mafundi wa kuandika lakn ukiomba tu unaskia oooh mie mama mchungaji au mara nimeandika tuu. ngoja niwaalike mafundi wangu watu8 asakuta same Shakir
Hahaaaaaaaa! That will be a bit extreme! 50k kwa bazazi is what i consider unfair transaction and prepostrous! Mi nashauri declare interest tu ya SECRET ADMIERER kama Badibeybey! Hahahaaaaaaa!
aisee thanx for ur consideration so ili nijue nami nimo itakuaje maana 50k for bata with jf thinkerz is nothing
Sasa...?