Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,313
- 125,175
ha ha ha we haya ntacheka nikiiona picha yako unachungulia chungulia tu watu wanakula vyao
Hahaaa mi mzamiaji mzoefu wala siwezi kuiangusha fani yangu
ha ha ha we haya ntacheka nikiiona picha yako unachungulia chungulia tu watu wanakula vyao
Ila usije kuvalia ile minguo ya maccm, maana shida yenu hamjuwagi hata tofauti na maudhui yaendane na mavazi gani.
Hahahaha Avemaria seat zimeshajaa bana
Hahaaaaa! Kila shetani na mbuyu wake! Unaweza kukopwa wewe ila mwnzioa aaah ANAMWAGIWA MAHELAAAAAAA! Au unamgea bureeeeeee tu kuwaziba watu midomo kwani inaisha ile?teheeee!!!! wazee wa kukimbia madeni mbona wanajulikana. ukiwakopesha tu umeumia.
Boraaaa shosti INAHUSU KUJIFICHA FICHA KAMA KONDO LA UZAZI? Unakaa nyuma nyuma kama makalio kila siku! Akhaaaaaaaaa! Lazima mtu uwe social, una socialise na watu, outgoing, mingling sio kukaa nyuma nyuma huku UNAFATILIA KWA UKARIBU TU! Heheeeeeeeeeeeya! Iogope sana nyota ya mpishi kushinda jikoni na majungu! Inahuuuuuuuuu! Lazima ualikwe!Hayo mambo ya aliye juu mngoje chini yamenikost sana...saiv sitaki
Hahaaaaaa! Wengine wanajichetua tu waonekane wamo baaas! Mtu anaetaka kualikwa anasema jamani im interested can i join? Kiutu uzima zaidi! Hayo ya tusio na hiki mara kile inahuuuuuuuuu!
Shoga ITS A FREE COUNTRY SINCE 1961 isitoshe mtu mzima hata siku moja habembelezwi! You want in, you are in hujisikii kafie mbele vile vile! Hupunguzi wala huongezi chochote!Umejuaje besti? Labda wameongeza idadi!
If interested mcheki mtambuzi!not yet
Boraaaa shosti INAHUSU KUJIFICHA FICHA KAMA KONDO LA UZAZI? Unakaa nyuma nyuma kama makalio kila siku! Akhaaaaaaaaa! Lazima mtu uwe social, una socialise na watu, outgoing, mingling sio kukaa nyuma nyuma huku UNAFATILIA KWA UKARIBU TU! Heheeeeeeeeeeeya! Iogope sana nyota ya mpishi kushinda jikoni na majungu! Inahuuuuuuuuu! Lazima ualikwe!
Shoga mjini chuo kikuuu! Huoni haya mtoto wa kike uliekamilika kukosa 50k? Aaaaaaaaah! Unaniangusha shoga yangu mie! Mwenzio watu wananiambia hio 50k sio issue na chonde chonde tufanyie booking ya hapo hapo Serena tunalala $195/night maana tunaingia na Precission leo, tunalala hapo na siku ya tukio kesho yake tunaondoka!Hahaaaa....ila shoga mi naneng'eneka tu hapa....hela ya outing mi niitoe wapi na wakati mwenyenyumba namkimbia....jioni nasubiri alale then naingia kwa kunyata. Mwambie bas shem ajiguseguse mfukoni kidogo hihihihiii.....
Hahaaaaaa! Wengine wanajichetua tu waonekane wamo baaas! Mtu anaetaka kualikwa anasema jamani im interested can i join? Kiutu uzima zaidi! Hayo ya tusio na hiki mara kile inahuuuuuuuuu!
Daah lara 1 I wasn't that much serious. Sasa nijichetue ili nani anione? Nimeandika tu kuchangamsha genge coz najua hakuna kualikwa ni hela yako tu ndo itakualika. Kwani title ilivyoandikwa "are u invited" alimaanisha kuwa wametoa kadi za mualiko kwa watu special?? Anyway sorry kwa wale niliowakwaza kwa comment yangu.
Shoga mjini chuo kikuuu! Huoni haya mtoto wa kike uliekamilika kukosa 50k? Aaaaaaaaah! Unaniangusha shoga yangu mie! Mwenzio watu wananiambia hio 50k sio issue na chonde chonde tufanyie booking ya hapo hapo Serena tunalala $195/night maana tunaingia na Precission leo, tunalala hapo na siku ya tukio kesho yake tunaondoka!
Jikague shoga angu! Maisha ndo haya haya we ibane weeee nyenyere watafaidi si utani! Hahaaaaaaaa!
Ahahaaaaaa! Sasa kuchangamsha genge huko watu wengine wana perceive kama sisi tuna ubaguzi au vipi! Na wengine wana ID kibao kazi yao kuponda tu hizi events miaka na miaka japo hata waponde vipi lazima zifanyike na zifanikiwe iwe isiwe! Sasa wewe ulivokuwa unachangamsha genge sio rahisi kutofautisha kama ni mchangamsha genge au hater! Ndo maana mi nikatoa jibu elekezi kuwa WHAT EVER THE CASE ITS A FREE COUNTRY, SIO LAZIMA MTU FALNI AWEPO, NA WALA SIO LAZIA MTU FLANI ASIWEPO, ANAVOJISIKIA TU MTU, HAMNA ATAEPUNGUZA CHOCHOTE AU KUONGEZA! Its a free country once again!Daah lara 1 I wasn't that much serious. Sasa nijichetue ili nani anione? Nimeandika tu kuchangamsha genge coz najua hakuna kualikwa ni hela yako tu ndo itakualika. Kwani title ilivyoandikwa "are u invited" alimaanisha kuwa wametoa kadi za mualiko kwa watu special?? Anyway sorry kwa wale niliowakwaza kwa comment yangu.
Hahaaaaaaaa! That will be a bit extreme! 50k kwa bazazi is what i consider unfair transaction and prepostrous! Mi nashauri declare interest tu ya SECRET ADMIERER kama Badibeybey! Hahahaaaaaaa!Hahahahaaaa....kiruuu..ngoja nitafute libazazi limoja linilipie lol
can't wait to see u face to face babuu