Are you invited?

Are you invited?

mhhhh hii show looks goooood....nahitaji sponsor tho...
 
Mkimaliza yaishie hukohuko na mmalizane huko huko. Ikitokea umekopwa udai kimyakimya hatutaki kujaziana nyuzi hapa za malalamiko hapa na ubuyu wa PM

ha ha ha sasa mdaiwa kama hapokei simu tena je? anaonekana tu kwenye thread za watu? deni litamuandama hadi huku....
 
Mkimaliza yaishie hukohuko na mmalizane huko huko. Ikitokea umekopwa udai kimyakimya hatutaki kujaziana nyuzi hapa za malalamiko hapa na ubuyu wa PM
ITS A FREE COUNTRY TUTAWEKA NYUZI MPAKA MWISHO WA DUNIA IKIBIDI! Jamvi huru hili kila mtu anafanya anacjojisikia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom