Are you invited?

Are you invited?

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,442
Dar_es_Salaam_x_i104222.jpg

Dar_es_Salaam_x_i104223.jpg

page_dining_mainBanner.jpg

Maeneo ya namna hii ili kujivinjari inahitaji mfuko utune kidogo, lakini kama mtu ukijipanga ndani ya miezi miwili kwa ule mtindo wa umoja ni nguvu, watu wanajimuvuzisha mjengoni kiulaini bila chenga.

Waheshimiwa hili ndilo eneo la tukio

Are you invited....?

CC:
lara 1, sister, Paloma, Vivianna, Heaven on Earth, Elizabeth Dominic, tinna cute, miss strong, cacico, ladyfurahia, KakaKiiza, Kaizer, amu, mwekundu, Tyta, Kipaji Halisi, Jiwe Linaloishi, miss neddy, badiebey, Mentor, Asprin, miss chagga, angelita, NANDERA, charminglady

Na wengineo.......

Kazi imeanza sasa………
Big up Madame B
 
Attachments

Last edited by a moderator:
cc lara 1 are u invited
Jamani mbuga ni kubwana sanaaa! Najua wewe msomi hapa tukitumia policy ya Adam smith ya mwenye nguvu ndo ampate man of the hour, tutachinaaaa na kumalizana wenyewe kwa wenyewe!, Tutumie tu policy ya John Nash! Nash equilibrium itumike, ambapo tunawinda pamoja kila mtu anapata size yake! Adam Smith is a dead man, so are his policies!

Sasa basi natangaza nia mapemaaa kwa grafani11, just talking and campany! Matola atakuwa nje ya nchi so sidhani kama atakuja! kama hajaalikwa babu mtambuzi nitaku pertition vibaya mnooo! Fanya tu umualike! Si unajua mi sio mtu wa kubanana pale pale!:A S wink:
 
Last edited by a moderator:
HAHAHAAAAAAAA! Unauliza makofi polisi au ndevu kwa Osama! NIMEMPERTITION MTAMBUZI KWA MIKE NA MAX KWA KUNICHELEWESHEA MUALIKO! Hio kesi yake kaiogopa!

hahahaha sasa watafute teamB watunishe mfuko in case of emergency lol matola asione hapa
 
Jamani mbuga ni kubwana sanaaa! Najua wewe msomi hapa tukitumia policy ya Adam smith tutachina, tutumie tu policy ya John Nash! Nash equilibrium itumike!
umeona eeeh mbuga kubwa hii ila hiyo
policy ya john nash idadavue
 
Jamani mbuga ni kubwana sanaaa! Najua wewe msomi hapa tukitumia policy ya Adam smith ya mwenye nguvu ndo ampate man of the hour, tutachinaaaa na kumalizana wenyewe kwa wenyewe!, Tutumie tu policy ya John Nash! Nash equilibrium itumike, ambapo tunawinda pamoja kila mtu anapata size yake! Adam Smith is a dead man, so are his policies!

Sasa basi natangaza nia mapemaaa kwa grafani11, just talking and campany! Matola atakuwa nje ya nchi so sidhani kama atakuja! kama hajaalikwa babu mtambuzi nitaku pertition vibaya mnooo! Fanya tu umualike! Si unajua mi sio mtu wa kubanana pale pale!:A S wink:

mmmmmh matola kakupa ruhusa??? ila umevumbua dhahabu tegemea competition lol
 
Last edited by a moderator:
mmmmmh matola kakupa ruhusa??? ila umevumbua dhahabu tegemea competition lol
Hahaaaaaa! Ushaaaaaaanza! Umejuaje ni dhahabu? Tena ishia hapo hapo! Mi nawashangaa nilacho mkubwa wenu na nyie madogo hiko hiko mnakitakaaa! Loooooooh! Haya ulikwa unachonga sanaa kwa mgiriki nimekuachia, hukuridhikaaa, ukaja kwa mgosi wa kaya, haya nae nakuacha sasa ila ulivo na roho ya korosho na usivo na haya unataka uje unibane hadi huku kwa Graffiti? Loooh! Kama kupe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom