Mnaitwa Extrovert hao sio anti social ni IntrovertSisi ambao tunaenda kusalimia ndugu kila inapobidi, tunawasiliana na majirani zetu, tunahudhuria harusi za watu wetu wa karibu, misibani hatukosi. Kazini zikitokea get together hatukosi pia,nk. Tunaitwaje?
Tunathamini mchango wako,ila sio lazima tukuzingatie.Hakuna tofauti ya mchawi na antisocial,mliochangia wote ni wachawi
Hao ni wachawi tu wakizazi kipyaAnti-social halafu una smart phone!!!??? Wewe una matatizo yako ya kisaikolojia tu, katafute mshauri nasihi akusaidie.
Tena mwingine anasema ni anti-social lakini anashinda kwenye social media. Watanzania kuna tatizo mahali.
Ha ha ha watu wanaboa..uko kama mimi tu.Mimi in short tu huwa sipendagi watu kabisa
Natafuta namna niweze kuwa na ushirikiano na Majini tu
Most of time watu huwa wananichukulia kama mkimya sana ila kumbe huwa sipendi watu kabisa ndio maana siungani nao kupiga storyHa ha ha watu wanaboa..uko kama mimi tu.
Alivotaja tu TBC.... Nikajua tayari...Ulivyoitaja tu TBC kama ndio redio pendwa kwako wenye akili tayari wanakujuwa ni mtu wa aina gani, hukuwa na haja ya kuandika gazeti.
Mwezi march in mwezi wa nini?Utakuwa pia umezaliwa May,
Mwezi wa kazi!
hata mimi sipendi hotuba yoyote inayoanza na neno awali ya yote...naanza kwa kutanguliza shukrani japo mimi sio antsocialization..Mimi sipendi kusikiliza hotuba zozote zinazozidi dakika 5 na hasa zikiwa za wanasiasa.
Sipendi hotuba yoyote inayoanza na "... Awali ya yote..."
Sipendi michango yote ya wabunge kule bungeni inayoanza na mlolongo wa shukrani
Sipendi kitu chochote kinachoitwa kongamano liwe la dini, siasa na kadhalika
Sipendi tamthilia au Bongo movie zozote ambazo waigizaji wanawake hutumia muda mwingi kulia au kujiliza hadi wakati mwingine kutoa makamasi
Sipendi, sipendi, sipendi ......
Tupo pamoja, mimi na Da'VinciNiende moja kwa moja kwenye mada, nina vitabia ambavyo ni ngumu kunibadilisha na kujibadilisha,
(1) Sipendi kuangalia TV, utaniona kwenye TV hasa kukiwa na mpira wa miguu vinginevyo mie ni mtu wa redio kwa sana, tena hasa TBC TAIFA na vipindi vyangu vile taarifa za habari, hotuba za baba wa taifa, muziki wa zilipendwa ukichambuliwa na MASOUD MASOUD mie kwangu burudani kabisa.
(2) Mwanamke/Msichana akijipodoa sana kwangu anaboa. Akijitoboa pua yake hata kutazama sura naogopa kabisa, akijifunga vikuu miguuni ananiboa, n.k.Napenda sana Mwanamke awe Natural, yaani aoge zake apake mafuta yake ya nazi na kumchana nywele zake au asile twende kilioni[emoji1787][emoji1787]
(3) Sherehe Sherehe hizi sijui za Ndoa, Birthday DAAAH hizo ndio sizipendagi kabisa, kama ndoa nitaishia kutoa mchango tu lakini ukumbini hunioni. Kichwani naona kama kupotezeana muda tu, watu wanaonyeshana uzuri wao, mavazi yao, na ratiba nyingi zisizo na kichwa wala miguu.
(4)Nipo DSM kwa zaidi ya miaka 20 tokea nipo Form 1 sijatoka tena lakini kwenda Beach kujipumzisha hata mara 10 hazifiki. Hayo maonyesho ya Sabasaba hata viwanja vyenyewe sijawahi kukanyaga, n.k.
Kwa ufupi kama sina Issue ya kunitoa Home, nitakaa tu na watoto wangu wanafanya home work zao za shule mie nipo pembeni yao nasoma vitabu vyangu vya riwaya tu vya akina Willy Gamba, Ben Mtobwa,Hammie Rajab, John Simbamwene, n.k nikichoka Riwaya nitarukia vitabu vya akina Kiyosaki,Robin Sharma.
NAENJOY maisha yangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]Daah kudadadek!Kwa Hali inavyoenda mtakuja kubadirika mpaka mjishangae! Baadhi yenu ndo wale waliokuwa wakiponda watu mawe kule arumeru ati mwajiita mizimu..[emoji23]
Mkuu, hivi kupiga mbuzi maana yake nini?Mimi huwa sipendi kujumuika na watu.Muda mwingi huwa napendelea kusikiliza mziki,redio,kuperuzi JF au kucheza games pale niwapo huru na kazi.
Katika siku,naweza cheza games kwa hata saa nne,kusikiliza redio saa nne na kusikiliza mziki saa moja.
Huwa sipendi kujipendekeza.Salama kwa watu wazima huwa ni kila siku alafu nafanya mambo yangu.Ila salamu kwa vijana wenzangu utakuta leo namsalimia,kesho akipita akanipiga buyu asinisalimie yeye imeisha hiyo,nitakuwa nampita tu nafanya mambo yangu.Ila kama akipita akanisalimia huwa tunasalimiana 50/50 hakuna kujipendekeza kudadeki.Salamu ninayotoa 100/0 ni kwa walionizidi umri tu.
Wanawake ndiyo kabisa nilishagundua ukiwa unawasalimia salimia hovyo wanakuona kibaraka Chao.Huwa ninafanya mambo yangu alafu huwa sipendi kuongelewa au kuangaliwa.Jana nilienda dukani kuna manzi nayo ikaja haijatoa salamu wala nini ikawa inaniangalia,nikampigia mbuzi kudadeki akageuza kichwa mimi huyo nikaondoka zangu baada ya kupata huduma.
Alafu wanaume wamepungua kweli.Siku hizi unapita zako unaanza kushangaa wanaume wenzako wanakuangalia na hii ni obviously lazima wakuongelee.
Nipo kanda ya ziwa kikazi watu wa huku nilivyopata experience wana ukabila na wanajiona bora sana.Sasa mimi sitaki shobo na mtu ni mwendo wa mbuzi na mambo yangu na sitaki ushenzi ukileta mazoea nakuzingua,Ili wajue kuna wanaume nje ya kanda ya ziwa.
View attachment 2256983
Maisha mazuri kwa upande fulani,muhimu uwe na furaha na unachokifanyaNiende moja kwa moja kwenye mada, nina vitabia ambavyo ni ngumu kunibadilisha na kujibadilisha,
(1) Sipendi kuangalia TV, utaniona kwenye TV hasa kukiwa na mpira wa miguu vinginevyo mie ni mtu wa redio kwa sana, tena hasa TBC TAIFA na vipindi vyangu vile taarifa za habari, hotuba za baba wa taifa, muziki wa zilipendwa ukichambuliwa na MASOUD MASOUD mie kwangu burudani kabisa.
(2) Mwanamke/Msichana akijipodoa sana kwangu anaboa. Akijitoboa pua yake hata kutazama sura naogopa kabisa, akijifunga vikuu miguuni ananiboa, n.k.Napenda sana Mwanamke awe Natural, yaani aoge zake apake mafuta yake ya nazi na kumchana nywele zake au asile twende kilioni[emoji1787][emoji1787]
(3) Sherehe Sherehe hizi sijui za Ndoa, Birthday DAAAH hizo ndio sizipendagi kabisa, kama ndoa nitaishia kutoa mchango tu lakini ukumbini hunioni. Kichwani naona kama kupotezeana muda tu, watu wanaonyeshana uzuri wao, mavazi yao, na ratiba nyingi zisizo na kichwa wala miguu.
(4)Nipo DSM kwa zaidi ya miaka 20 tokea nipo Form 1 sijatoka tena lakini kwenda Beach kujipumzisha hata mara 10 hazifiki. Hayo maonyesho ya Sabasaba hata viwanja vyenyewe sijawahi kukanyaga, n.k.
Kwa ufupi kama sina Issue ya kunitoa Home, nitakaa tu na watoto wangu wanafanya home work zao za shule mie nipo pembeni yao nasoma vitabu vyangu vya riwaya tu vya akina Willy Gamba, Ben Mtobwa,Hammie Rajab, John Simbamwene, n.k nikichoka Riwaya nitarukia vitabu vya akina Kiyosaki,Robin Sharma.
NAENJOY maisha yangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watakula Cover page[emoji23]Nyie mnaopenda kukaa wenyewe huo ni ugonjwa na hakuna dawa nyingine zaidi ya mvinyo.
Ratiba zenu ni fixed sana aisee, yani ni vitabu, movie, simu , kulala baasi.
Hivi siku mkitimuliwa huko makazini mtafanya ishu gani kitaa isiyohusisha watu/kuchamkia watu??
Kwakweli binafsi hiyo hali huwa siipendi, na nahisi huwa ni special kwa waajiriwa na mabwenyenye ila kwa wachakarikaji kitaa ukikaa ndani usome vitabu vya hadithi utakula cover page.