Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 177,396
- 195,237
Nawe upo vizuri...Mpo vizuri
Nawe upo vizuri...Mpo vizuri
🤣🤣Mna roho mbaya...
Ni kweli kabisa [emoji1787][emoji1787]Ulivyoitaja tu TBC kama ndio redio pendwa kwako wenye akili tayari wanakujuwa ni mtu wa aina gani, hukuwa na haja ya kuandika gazeti.
Ego inakutesa sana, sio kosa lako pengine malezi na mazingira yamekufanya hivyo.Mwaka 2005 ilikuwa mwisho wangu kujihusisha na dini/ibada na ni baada ya padri kukataa kumzika classmate.
Sijawahi na sitowahi kuwakubali ccm au yanga/utopolo.
Sipendi kuongea sana hivyo ukinikuta na mtu ujue ni mtulivu kama mimi.
Nashabikia simba na ni mwanachama mkubwa tu ila sijawahi kuvaa jezi ya simba toka utotoni.
Sijawahi kuvaa nguo yenye maandishi au picha au mchoro wowote.
Mimi ni ngumi mkononi na nikipiga ni moja tu.
Sijawahi hudhuria sherehe yoyote, nikienda msibani sijawahi kutazama maiti.
Barabarani ukinizingua nakufata hadi ukipark nakueleza. Ukibishana nakupasua.
Mbona nilikutafutaNawe upo vizuri...
Hakika, ubarikiwe sana...Mbona nilikutafuta
AmiinHakika, ubarikiwe sana...
Wewe na mie tunarandana kwa 90%Mim sipend kujumuika na watu nisio wafaham , sipend kuongelewa, Sipend wanawake hasa wenye Usasa mim kwangu mwanamke hajawah kunisumbua kichwa changu kabisa, sipend kuingiliw kweny maamuz yangu, Sipend marafik wanafik wanaopenda Story na kupotezeana mda kwnye vijiwe, Inshort mim Sio muongeaji kabisa.
Napenda kusoma vitabu, Huwa napend kukaa Peke angu mda mwing naamin kukaa peke angu najiepusha na matatizo mengi sana......[emoji851][emoji851][emoji851] eeh thats is Me......
Tu pacha kwa 88%Mimi huwa sipendi kujumuika na watu.Muda mwingi huwa napendelea kusikiliza mziki,redio,kuperuzi JF au kucheza games pale niwapo huru na kazi.
Ulizaliwa mwezi wa ngapi naona tunafananaMi spend mikusanyiko ya watu, ni katika suala la Ibada tuu hukusanyika na kufurahia mikusanyiko , mikusanyiko ya siasa , kongamano , sjui concert spend hata kidog ,
Nilipokuwa advance kule galanos Tanga, Mimi ndo niliongoza kutohudhuria paredi, hotuba za mkuu wa shule hata mkuu yyte , kuhudhuria mashindano ya mpira, hata sku ya kufunga shule sihudhurii nabak bwenini tuu na walimu walikuwa wanafanya msako na hawanipati mpak wanafunzi wenzangu wananiita Michael Scofield,
TV kuangalia spend labda mpira na wenyewe ni UEFAchampions League tuu hasa kwenye nockout stage , Mpira wa Simba na Yanga spendi na huwa nawaona wanaoshabikia kama mazombi .
Napenda kuangalia movie hasa action movie tena category ya War , spendi mwanamke mchafu, anayenuka mdomo wala harufu sehemu za Siri hasa harufu ya kinyesi , spendi kabisa Yani nikiona kitu cha namna hyo Kwa mwanamke nakata mawasiliano sitaki hata kumuona , bajeti ya usafi wa mwanamke kwangu haina ukomo , kadri navyoweza nitamhudumia awe msafi.
Beach napenda but spend beach za changanyikeni
Napenda beach zilizotulia nikiwa na mrembo wangu bas naenjoy
🚶🚶Niende moja kwa moja kwenye mada, nina vitabia ambavyo ni ngumu kunibadilisha na kujibadilisha,
(1) Sipendi kuangalia TV, utaniona kwenye TV hasa kukiwa na mpira wa miguu vinginevyo mie ni mtu wa redio kwa sana, tena hasa TBC TAIFA na vipindi vyangu vile taarifa za habari, hotuba za baba wa taifa, muziki wa zilipendwa ukichambuliwa na MASOUD MASOUD mie kwangu burudani kabisa.
(2) Mwanamke/Msichana akijipodoa sana kwangu anaboa. Akijitoboa pua yake hata kutazama sura naogopa kabisa, akijifunga vikuu miguuni ananiboa, n.k.Napenda sana Mwanamke awe Natural, yaani aoge zake apake mafuta yake ya nazi na kumchana nywele zake au asile twende kilioni[emoji1787][emoji1787]
(3) Sherehe Sherehe hizi sijui za Ndoa, Birthday DAAAH hizo ndio sizipendagi kabisa, kama ndoa nitaishia kutoa mchango tu lakini ukumbini hunioni. Kichwani naona kama kupotezeana muda tu, watu wanaonyeshana uzuri wao, mavazi yao, na ratiba nyingi zisizo na kichwa wala miguu.
(4)Nipo DSM kwa zaidi ya miaka 20 tokea nipo Form 1 sijatoka tena lakini kwenda Beach kujipumzisha hata mara 10 hazifiki. Hayo maonyesho ya Sabasaba hata viwanja vyenyewe sijawahi kukanyaga, n.k.
Kwa ufupi kama sina Issue ya kunitoa Home, nitakaa tu na watoto wangu wanafanya home work zao za shule mie nipo pembeni yao nasoma vitabu vyangu vya riwaya tu vya akina Willy Gamba, Ben Mtobwa,Hammie Rajab, John Simbamwene, n.k nikichoka Riwaya nitarukia vitabu vya akina Kiyosaki,Robin Sharma.
NAENJOY maisha yangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]