Tatizo liko wapi? wapo wanaoabudu minyumbu, ng'ombe, mti na mengineyo, hiyo ni imani yake nadhani, serikali haina dini ila watu wake wana dini.Kuna RC ksema JIWE ni Mungu, yaani tumefika pabaya sana.
Maombi yalifanyikia wapi? kama ni kanisani, makanisa hayo yanaabudu shetani? au unataka kutuambia kwamba maombi yalifanyikia Ikulu?Sumve 2015,
Kwahiyo yale maombi ya siku tatu kushukuu kuisha kwa Corona yalikuwa kwa Shetani?
Kele KKKT alikwenda kuhutubia Mkuu wa nchi kulikuwa binafsi, kama ndiyo kwanini zile kauli zimefanyiwa kazi, mfano kufungua vyuo, kutovaa barakoa maana aliziita "matambara" etc?
Kumbe mnakuwa mnajitibu sasa nimeelewa!Watu watoe nyongo wapendavyo. Ni aina mojawapo ya tiba pia !!!
hata mimi nashangaaMaombi yalifanyikia wapi? kama ni kanisani, makanisa hayo yanaabudu shetani? au unataka kutuambia kwamba maombi yalifanyikia Ikulu?
Wacha tuone covid-19 kwanza, maendeleo sii muhimu.Kwa huyu jiwe tumepata hasara kubwa sana Kama taifa . tunaelekea shimoni
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya Rais au Waziri Mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu.
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?
Nimejitahidi kuangalia Bunge ili nione labda Mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Peke yako. Mbona tuko sawa kabisaWafanyakazi ndiyo hoi bin taabani!
Uko REA au BOT mwenzangu?Peke yako. Mbona tuko sawa kabisa